Recent content by nduvanyo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi pikipiki

    yupo weka mawasiliano yako apa au nitumie inbox.ni wa uhakika na ana uzoefu wa miaka 8
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu, Mimi naomba mnielekeze hii option Ina maana gani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee hii option ina maana gani?? Asian handcap(HK football team+3.5)-FT(2)
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari used (Saloon car)

    ulipata???
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    chanika zipo 3 kivule 1, mbagala 2
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    ipo ulongoni a kwa mkurugenzi ni chumba master na sebule,maji yapo
  7. N

    JamiiForums Tanzania Toyota Voltz inahitajika

    mbona zipo nyingi tu hizo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    chief, na mimi kwenye hiki kinokia changu 2.3 kina uwezo wa kuweka hayo maunyama????
  9. N

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    [emoji23][emoji23][emoji23]tulia basi chief nasubiri linki ujue
  10. N

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    infinix hot 9 play natumia linki gani mkuu???
  11. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    jamani wakuu,mimi nauza tv ya sharp aquos nchi 32 ya mtumba kama spea.ukiiwasha kioo chake kinaonesha rangi nyeupe tu ina miezi miwili.nipe bei yako 0622123545
  12. N

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) yafunga dirisha la maombi

    kwa hesabu zangu za darasa la nne c ni kwamba hamna atakaekosa au nimeelewa vibaya,walioomba ni elf 91... na bajeti ni kwa watu laki na arobaini....
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dili za Mtandaoni/Online deals(special threads)

    comrade mbona hii wanasema kwa Tz haipo??? tusaidiane kaka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye beauty saloon, ofa ya karne ipo hukuuu

    mzigo mpya kabisa huo haujawahi kutumika kwa 200k utaupata nichek 0738832919 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

    duh,we jamaa wewe
Back
Top Bottom