Recent content by NdurumoDS7

  1. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Uongo wa serikali kuhusu kuonesha bure chaneli za ndani kuanzia Trh 05/9/18.

    pamoja sana news zenyewe wanabagua nini kirushwe hewani hazina uhalisia wakuziangalia kwa watu wanaojielewa hawawez poteza muda kuangalia newz za kina Juha
  2. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Sakata la Mafuta ya kula (TRA vs. TBS) - Hiki ndicho kinachobishaniwa

    kweli kabisa mkuu maana mafuta hatujaanza kula leo wala jana so inamaana kulikuwa na nini hapo mwanzo......??
  3. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Clouds wana shobo na Alikiba hadi wanaboa

    we jamaa hayo maneno uliyomalizia hapo chini bora tuu ufute maaana sii kweli kabisa huwez kuwa neutral then unamaind kisa media inafanya kazi yake kesho wakimweka msanii mwingine utamaindi tena au utakaa kimya na kesho kutwa wakamweka msanii mwingine utamaind au utakaa kimya NAOMBA MAJIBU then...
  4. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Mtungi wa gesi uoneshe kilichopo ndani kama chupa ya soda.

    vifaa kujua kama gesi imekaribia kuisha vipo // mtungi hauwezi kuwa kama chupa ya soda sababu za kiusalama maana kama ikitokea umepasuka bahati mbaya imagine kweye lori limesheheni mitungi huo moto wake ni hatari sana // kumaliza tatizo ni vyema ukapimiwa gesi yako kila ununuapo wapo wauza gesi...
  5. NdurumoDS7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Uzi mtamu sana huu mbona wadau mmeukaushia kama vip tuanzishe mwingine wa Costal cto Costal. Mombasani // TangaKunani
  6. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa , Startimes , feni

    Mkoani unatuma mkuu.....
  7. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Yusuf Manji afutiwa kesi ya Uhujumu uchumi

    Pray for lisu pray for lisu pray for Lisu
  8. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Spika ataka wabunge kuwa na tahadhari juu ya usalama wao

    nonsense
  9. NdurumoDS7

    JamiiForums Tanzania Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    well said chief Lissu atapona na mapambano yataendelea hao mafedhuli waliojivalisha ngozi ya kondoo 40yao itafika hakuna lisilokuwa na mwisho
Back
Top Bottom