Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

Hii ni ishara nyingne inayoonyesha kuwa watu wamechoshwa na maigizo ya serikali iliyowakataza wapinzani wake kufanya siasa za kitaifa hadharani badala yake viongozi wa chama tawala tu, mwenezi/polepole, mwenyekt uvccm, na mwenyekit wao mkuu wanakula keki yote kisha wanajinasibu kuwa watanzania wanawaelewa na kuwaunga mkono. Hawajui nin kitatokea sku wakiruhusu japo mkutano mmoja tu wa hadhara wa kitaifa kwa wapinzani...

Watu wako kimya ila wanakielewa kile wanachokiamini, zile kelele nyiingi za "tumuunge mkono" msidhani zina mashiko.

Mauaji au tishio la mauaji si la kwanza kutokea ktk nchi hii hata kwa mwaka huu pekee, lakini kwa nin juu ya lissu hadi watoto wamepiga kelele, wamesononeshwa na wakatoa ya moyoni. Simple answer. Lissu ni msaada kwa taifa kuliko hao wanaotaka kurasa za mbele ya magazeti ambao kwa bahati mbaya movie zao ni za kitoto mno.

Sauti hizi zimeskika zikionyesha kumhitaji lissu leo na kesho zaidi kuliko jana.

vijana wa lumumba mitandaoni wamepagawa hawaelewi imekuwaje lissu kapona na wanashuhudia laana kutoka kwa watu wa kila rika ktk taifa, vyombo vya kimataifa, nchi mbalimbali na jumuia mbalimbali. Hawajui wafanye nin, watukane au watoe pole japo kinafiki,,, wengi wakajitoa mhanga japo kinyonge kutoa pole na kulaani japo kinafiki walipoona mungu mtu wao naye kinafiki kajikongoja na tweeter kutoa pole na kulaani.

CCM MNATAKIWA KUJIFUNZA SASA KUWA UKIMYA WA MAMILIONI YA WATU WALIOKIMYA KWA SABABU YA KUOGOPA MKONO WA DOLA ONEVU UNA MAANA KUBWA SANA.

MLIDHANI KWA WIMBO WA KINAFIKI NA UTAPELI KUIMBA KUWA THE GREAT TUNDU ANTIPAS LISSU SI MZALENDO NA MSALITI KUWA WATANZANIA WATAMCHUKIA LISSU, BADALA YAKE WANAWAPUUZENI NYINYI NA MOVIES ZENU NA WAKAZIDI KUMPENDA LISSU. MMECHANGANYIKIWA KWELIKWELI

TAML MZALENDO WA KWELI.

Mungu tunakuomba umjalie uzima mwanao LISSU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna njia mbalimbali ya kuonyesha upendo nyingine ni kupitia kichango. Nimesoma mahali michango iliyokusanywa so far, mpaka sasa sijaamini! Na Lisu Mungu ampe uponyaji wa haraka aje ashuhudie unafiki wa watu! Maneno mengi vitendo hamna!
 
Mnapenda kuficha ficha mambo kuna siri gani?? Bila lissu tungejua kuwa kuna diabomba ime shikwa huko?? Lisu anasurubiwa kwa uzalendo wake wa kuwaweka wazi watanzania yale yanayo fichwa na seriali na anasurubiwa na walendo wa kinafiki ,

hivi riport yakamati za bunge huenda kwa rais moja kabla ya kujadiliwa na wabunge au ikoje hebu tupe jibu iwa hilo , maana mnajua kutetea ujinga kuliko kusimamia ukweli nyie ni watu wa ajabu sana kuna nini kinafichwa fichwa.?mbona mazuri mwapenda dunia nzima iyasikie??
Kwa hiyo baada yakujua. Ninyi ndio wale mnaopenda kuona jirani kapata janga ndio furaha yako. Yaani hili la kutafuta makosa ya serekali ndio mnaona anafanya la maana. Give me a break. namuombea apone kama binadamu mwenzake lakini anayo fanya ni mabaya sana halafu kashika akili za baadhi ya watanzania. Mtu anatetea watu wa madini badala ya Nchi yake ndio mzalendo huyo. Give me a break!!!!
 
Kama kuisaidia kisheria Acacia kushinda na kushinikizwa nchi kuwekewa vikwazo kimataifa ndo kutetea wanyonge basi sawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa utawala wa Makaburu hoja za Wazungu zilikuwa zinafanana na hii ya kwako. Kwamba vikwazo vingewaumiza weusi zaidi, lakini akina Mwalimu Nyerere walishikilia uzi viwekwe. Mwisho wa siku ikajagundulika kuwa vikwazo vilikuwa dawa maana viliwaumiza Makaburu kuliko Weusi maana Waafrika tayari walikuwa wamezoea suluba. Halikadhalika hapa kwetu tukiwekewa vikwazo ili kuwakomesha hawa wakoloni weusi waliofikia hatua ya kutojali haki ya kuishi ya raia, watakaumia ni wao maana sisi walalahoi tumeshazoea maisha ya suluba.
 
Kama Lissu alichukuiwa na hatimaye Kupigwa Lisasi kwa sababu eti ni msaliti hivyo msaliti huwezi kumuacha akasavaivu, basi kitendo cha watanzania wengi kugusuwa na kuonekana wako upande Wa msaliti, basi tuhuma zenu zimekosa uhalali, badala yake inatosha kusema labda Lissu ni muasi aliyeasi mfumo kandamizi na kuamua kuukososa Mara kwa Mara
 
Sawa ngoja tutafute singo nyingine
 
Hivi kusema ukweli, kwenye hii nchi Msaliti namba one ni nani kama sio CCM? Tuweni wakweli wa nafsi zetu. Juzi juzi tu walitusaliti kwenye Katiba Mpya....sina hamu nao
 
Kama Lissu alichukuiwa na hatimaye Kupigwa Lisasi kwa sababu eti ni msaliti hivyo msaliti huwezi kumuacha akasavaivu, basi kitendo cha watanzania wengi kugusuwa na kuonekana wako upande Wa msaliti, basi tuhuma zenu zimekosa uhalali, badala yake inatosha kusema labda Lissu ni muasi aliyeasi mfumo kandamizi na kuamua kuukososa Mara kwa Mara
Habari ninazoandika hapa hazikusudiikuonyesha naunga mkono upande gani au siungi mkono upande gani kati ya Lissu na waliomuita msaliti.

Habari zinalenga kuchambua mantiki ya maandiko yako.

Umeandika kama vile watu wengi hawawezi kukosea, hilo si kweli.

Usitafute ukwelikwa kuangalia watu wengi wanakubalinini.

Tafuta ukwelikwa kuchambua hoja kwa kina.
 
Kama Lissu alichukuiwa na hatimaye Kupigwa Lisasi kwa sababu eti ni msaliti hivyo msaliti huwezi kumuacha akasavaivu, basi kitendo cha watanzania wengi kugusuwa na kuonekana wako upande Wa msaliti, basi tuhuma zenu zimekosa uhalali, badala yake inatosha kusema labda Lissu ni muasi aliyeasi mfumo kandamizi na kuamua kuukososa Mara kwa Mara
Post uliyotuma haieleweki kwa sasa tafadhali jaribu tena baadae
Sawa ngoja tutafute singo nyingine
 
well said chief Lissu atapona na mapambano yataendelea hao mafedhuli waliojivalisha ngozi ya kondoo 40yao itafika hakuna lisilokuwa na mwisho
 
Huyu mtu ni hatari, hasa kwa influence yake kwenye jamii. Pamoja na Kwamba yuko hospitali tena chumba cha ICU lakini nguvu yake imeonekana.

Tukio kama lisijirudie tena. na hili ni onyo kwa watu wote wenye nia mbaya wakidhania kuwa wangepata uungwaji mkono juu ya Assassination of Lissu.

Get well soon Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom