Recent content by Ndumbayeye

  1. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Barua imesahau marefa kupangq matokeo na bosi wao kidoo
  2. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    simba mlizidi kudeka kwa tff mpaka mkatia kichefuchefu
  3. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Uswahiba baina ya Yanga na CCM unatuathiri mnoo sisi wana Simba

    tff waliposhindwa kuingilia tarehe 8 wamedhihirisha wao ni wahuni sio wa kuwaachia peke yao waamue!
  4. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Tetesi: FIFA kuifungia Tanzania kufutia saga la mechi ya Simba na Yanga

    mnatafuta pa kutokea, hakuna nafuu na li karia lenu
  5. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Serikali yakemea watumishi wa umma wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Zinaa ni laana, ushoga ni laana mara tatu!
  6. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Hamna kikosi kipana
  7. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Uislamu na tamaduni za Kikureshi(Kiarabu)

    Mada hizi zinaongezeka karibu na iddi, kila mtu aabudu anachokiamini!
  8. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Wasiyoyajua Waislamu wengi

    Umekereka sana, kunywa maji kidogo!
  9. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Wewe hujui chochote dunia inavyoendeshwa, vita unaifuata hukohuko inakotaka kuanzia! unataka mpaka Kagame arushe mabomu kule Karagwe ndio askari wetu waingie kazini!
  10. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Marioo na wenzio acheni kuvaa miwani meusi kwenye video zenu

    tunakaa mtaa mmoja
  11. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania 2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

    We jamaa acha kutuchosha, ni nchi ngapi duniani zinatengeneza silaha zake mwenyewe, Urusi anaagiza drones Iran, Israel ana washinda waarabu kwa misaada ya western na ana tuhisa ya ku modify silaha za mmarekani.
  12. Ndumbayeye

    JamiiForums Tanzania Aina 10 za biashara zinazotapeli mamilioni ya Watanzania na wastaafu

    Kama hujataja kausha damu za kina marwa listi hiyo haina maana!
Back
Top Bottom