Recent content by ndugu04

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Tunahitaji mabadliko lakini kwa watu hawa sioni kama tutapata mabadiliko chanya!!! Ukawa mbona mnakuwa ccm academia????
  2. N

    JamiiForums Tanzania CCM yaomba msaada wa Mkapa na Mwinyi kumnadi Magufuli

    Huu sio msaada Hii ni kazi yao kama sehemu ya utamaduni wa ccm!!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu wengi wanaoiunga mkono CCM, ni wale ambao hawajatoka nje ya Tanzania

    Huwezi kuwa na akili timamu ukamchagua Rais toka Ukawa . Hana vigezo kabisaaaaaa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Mhhh!!!
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Mkombozi sahihi alikuwa Dr Slaa!!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Slaa amekatwa !!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Not sure if Slaa is happy !!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ndugu Nehemiah Mchechu afiwa na baba yake

    Poleni Kiongozi!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo cha Wabunge chashushwa toka Milioni 238 kuwa Milioni 130!

    Hivi wamefanya nini mpaka walipwee ..ahadi nyingi walizotoa bado hazijakamilika😁😁😁😁😁😁😁😁
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji atangaza kuachia jimbo la Singida Mjini rasmi!

    Mo haongei sana Ila anafanya mambo
  11. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    Pumzika Kwa amani John!!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

    Anajiandaa kurejea kitaa!!
  13. N

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la Nganga na Fuso yagongana uso kwa uso na kuteketea kwa moto

    Then hawataki kusoma madereva wengi hawana ethics ..very bad very sad!! Kila kitu siasa siasa i hate politics watu wanakufa ovyoo ovyoo tuu
Back
Top Bottom