Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,118
Siku ya kesho, Jumapili, katika uwanja Wa Jangwani, CCM itazindua kampeni zake za urais. Tayari timu ya kampeni ya makada 32 na ziada ya makada wengine watatu imeshaongezwa (Mama Salma, Ridhwan, Jakaya Kikwete).
Habari rasmi kutoka Ofisi za CCM Lumumba zinasema tayari wamemwomba Mkapa na Mwinyi wawepo pia ili kuongeza nguvu katika uzinduzi huo kwa kuwa uchaguzi huu ni mgumu sana, pia ni uchaguzi wa kihistoria kabisa.
Tayari pia CCM wapo katika mikakati ya mwisho mwisho ya mazungumzo na Hamphrey Polepole na mwanasiasa mmoja maarufu Wa Upinzani ili wawepo katika timu isiyo rasmi ya kampeni za magufuli mikoani huku wakipewa nyenzo zote za usafiri, ulinzi na watu.