Recent content by Ndugu yangu

  1. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania viongozi wa kiafrika tunapaswa kuiga nchi zilizo endelea tuache ujinga na upumbavu

    Mkuu wewe ni kiongozi ngazi gani?
  2. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Msaada Madonda ya tumbo yananitesa tumbo linauma sana

    Jaribu kunywa asali mbichi mara mbili kwa siku, pia kula matunda kwenye mlo wako, maumivu uliyonayo hutayasikia. Muhimu kula kwa wakati
  3. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo asimulia Madereva 75 wa Tanzania walivyofeli kuendesha magari Qatar

    Unawalaumu NIT, unauhakika kuwa hao madreva wamepita NIT?
  4. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Niwaombe TEC , kwakua CCM ni Sikio la Kufa , TEC itoe waraka Rasimi kuwataka Waumini kutoshiriki Uchaguzi au Maandamano ya Amani

    Kwa nini mnashinikiza kanisa liwafanyie kazi, mlitakiwa wenyewe muwe front badala ya kutegemea kanisa, walaka mwingine usishangae tarehe 25 Decemba 2025
  5. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

    Kwa nini usiendelee nayo, unauzaje aset inayokuingizia mkwanja Mkuu
  6. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

    Hamna zahanu hiyo no deposit ya iron sulphate
  7. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    Umeongea vizuri, mtoa mada siyo muungwana, amejaa hisia na sidhani kama ameomba Anasema mkopo unatolewa kupitia portal, sasa waombaji kuitwa kwa ajili ya semina anaona ni mpango wa kuombwa rushwa, utaombaje kupitia portal bila kupewa semina? Hongera kwa kutoa ushuhuda kuwa hakuna rushwa na...
  8. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    Leta intro Madam kidogo
  9. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Dada huenda wewe ni mtu poa sana
  10. Ndugu yangu

    JamiiForums Tanzania Je, alichofanya ni sahihi kuondoka na mtoto bila kuniambia?

    Jamaa bado anakuhitaji sana ndio maana hajaona muda wote huo. Ingawa hata wewe ndani ya moyo wako bado ananafasi ndio maana hats avata yako ni turudie Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  11. Ndugu yangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Wtz tumejaa tukifuatilia, hali hii inakumbusha miaka ileee 90 TV zinaingia, kama kwenu haipo watoto mnazamia kwa jiran
  12. Ndugu yangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Ajaribu awamu nyingine sasa
Back
Top Bottom