Recent content by ndugaseli

  1. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

    Huyo dada mchochezi tu kaongea kwa hisia na ameshindwa kutaja ni mradi gan ameacha hayati J.P.M umesimama ? Lakin pia suala la wanawake kuchoka na kubeba watoto wawili uku wanauza tissue si suala la Raisi kwan hata huko Marekani kuna watu wanalala nje kwa ugumu wa maisha so we dada tuliza...
  2. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Tusali sana hali inazidi kuwa mbaya

    Na siki hizi wamekua wengi sana na mitandao ya kijamiii inazid kufanya promotion za machoko kwahyo baba piga ibada mno Dunia imekwisha .
  3. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Mfahamu RTO anayehujumu Mapato ya Serikali jijini Dodoma

    Bandiko zuri lakin najua watakuja wenzetu WATZ kusema kua wao wakale wapi ' Na bandikk kama hili huwezi kupata wachangiaji wengi badala yake wewe ndo utaonekana mbaya kwahyo Mkuuu ni kitulia na kuacha mambo yaende kama watu wanavyo taka
  4. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Hii kiitifaki imekaaje?

    Uko vizuri sana Afisa Itifaki
  5. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Msiilinganishe Zanzibar na Tanganyika - Wazenji wapo mbali sana na sasa

    We shoga ndo umeandika nini sasa ?
  6. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

    Sawa Kunambi utapata uteuzi naona umejipgia chapuo mwenyewe .
  7. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Lindi: Mtumishi wa LATRA amtishia sime dereva wa lori ili ampe leseni

    Da! aisee huyo afisa ni mshamba sana kwanza hana maadili ya kaz nashauri afukuzwe kazi mara moja kwa kuingilia majukumu ya polisi na kutishia maisha ya dereva ova.
  8. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Historia hii itatubadilikia mbeleni kama tutaacha Tundu Lissu ashauriwe na mabeberu

    Hahahhaha Tundu lissu kachomoa battery
  9. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Lissu wanin tena akat 2meisha chukua ngazi ya Urais mpka udiwan ?
  10. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni fiksi hatari
  11. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU waonesha Rushwa ya ngono ilivyokithiri vyuoni

    bodaboda nao n balaaa mkuuu
  13. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    Chama cha baba yangu na mama yangu i love u ccm Mwaaa !!! hiii ni ya kwetu wenyewe tumeipenda wenyew wacha ituue potelea pwetee
  14. ndugaseli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu zangu wanaCCM kweli tulikosea, tuchutame

    Wewe ni mwana Lumumba mwenzangu kweli ? Mbona unaongea vitu vya uchochezi .
Back
Top Bottom