Hii Clip imfikie Rais Samia, ukweli mchungu ambao waliomzunguka hawataki ausikie

Mama Samia tunaomba umsikie na kumsikiliza Mwanamke mwenzio ambaye siyo mwanasiasa na haishi hapa nchini, ameyaongea haya bila double standard hata chembe.

Usikimbilie kusema "Watu wa Dar kitu kidogo tuu wanalalamika", mpaka sasa viatu vya Magufuli hujaweza hata kuvishika, acha tuu kuvijaribisha. 2025 upinzani hata ukimsimamisha nyangarika yeyote yule anaweza akakushinda vibaya sana.

Hayo yote sababu mtaani hali ni mbaya, na Januari iko njiani.

View attachment 2417815
Hivi Sa100 anapitaga humu?!
Vizuri ikimfikia, hasa kwa kuwa mnenaji ni mwanamke mwenzie.
Ila huyo Kabudi anayesema anamuelewa, mbona hakuna kitu pale !!!
 
Mama Samia tunaomba umsikie na kumsikiliza Mwanamke mwenzio ambaye siyo mwanasiasa na haishi hapa nchini, ameyaongea haya bila double standard hata chembe.

Usikimbilie kusema "Watu wa Dar kitu kidogo tuu wanalalamika", mpaka sasa viatu vya Magufuli hujaweza hata kuvishika, acha tuu kuvijaribisha. 2025 upinzani hata ukimsimamisha nyangarika yeyote yule anaweza akakushinda vibaya sana.

Hayo yote sababu mtaani hali ni mbaya, na Januari iko njiani.

View attachment 2417815
Ye Fala kweli hamna watu na wapiga ramli changonishi kama hao wanajeshi
 
Kimsingi ninakubaliana nawe, lakini si njia pekee, na wala siyo 'fullproof' ya maovu kuisha au kupungua kwa vile tu mihimiri inajitegemea katika maamuzi.

Hapao hapo Kenya ulipotolea mfano chini ya Kenyatta, madudu ya SGR kwa mfano, si yamefanyika hapo hapo, na huyo huyo Kenyatta kakiuka baadhi ya maamuzi ya hivyo vitengo vingine vinavyojitegemea, na hakuna walichofanya.

Kuna njia nyingine ya kuhakikisha maovu nchini yanapungua.
Chama cha siasa kikiwa imara na uongozi imara ni muhimu sana kuondoa huu uchafu ndani ya nchi.
Mfano ni China na chama chao cha Kikomunisti.

Wachina ni wezi sana wakiwa huku nje, kwa vile wanajuwa hakuna litakalowasumbua kama lile ambalo lingewapata wakifanya uhujumu wa aina hiyo wakiwa huko kwao.

Sasa niseme hapa. Sina pumzi ya kuendeleza yale ya zile dhahabu za UAE.
Hapana kwa Kenya uliona Kenyatta alibwagwa bungeni pale alipotaka kukopa zaidi.... Pia mahakama ilizuia mambo kadhaa mfano BBI referendum ambayo Inge cost mabilioni, ikazuia manunuzi kadhaa ya serikali mfano mradi wa consolidated ID cards n.k tuliona magovernor mfano Sonko na Waititu wakiwa impeached kwa ufisadi!! Hayo bongo haiwezekani maana mahakama inateuliwa na Rais so inakua ngumu kumnyoosha bosi wako!!

So suluhisho ni katiba sio uongozi Wala chama..... The more independent bodies we have the more accountable the government gets.
 
EeeeenHeeeee!

Nilijua tu ni wewe hata kabla sijasoma mwandishi wa mistari hiyo ni nani!

Hii kazi ya kutetea kisichokuwa na sifa ni kazi ngumu sana, ila kwa watu kama nyinyi, la maana ni kuonekana mnafanya kazi, huku kazi yenyewe haionekani.

Chukulia kwa mfano uliyoandika kwenye mistari yote hiyo hapo juu. Hakuna chochote msomaji anachoweza kutoka nacho kwamba ni cha maana.
Sawa Cha Maana alichoongea huyo mwanamke wa Ulaya Ni kipinhasa wewe umetoka nacho?
 
Huyo dada mchochezi tu kaongea kwa hisia na ameshindwa kutaja ni mradi gan ameacha hayati J.P.M umesimama ? Lakin pia suala la wanawake kuchoka na kubeba watoto wawili uku wanauza tissue si suala la Raisi kwan hata huko Marekani kuna watu wanalala nje kwa ugumu wa maisha so we dada tuliza kikojoleo chako huko umetumwa na mabeberu kuja kutuchafua .
 
Tukio la Moto wa msamvu ni Jambo la kama 30mn Tu Habari imeisha, uwez kusema uzembe wa watu wa zima moto

Ajari ya ndege uzembe ni mwingi mno,

Ww bwana tindo humpendi magufuli na sababu yako kubwa me naelewa ni mambo ya uporaji kwenye uchaguzi

Sikiliza ndugu, mwaka 1984 Nyerere akiwa rais kulitokea moto wa gas huko Arusha. Nyerere aliagiza madaktari toka Ujerumani, wahanga wengi walipona kwa kumeza moto wa gas baada ya wale madaktari kuja. Hiyo ni miaka zaidi ya 35 iliyopita. Hawa wahanga wa ajali ya moto waliletwa hapa Muhimbili, kila siku alikuwa anakufa mmoja hadi watatu Hada wakaisha wote! Tulipiga kelele kwamba hakuna uzalendo kwenye maisha ya watu, aidha wahanga wapelekwe nje, ama waje madaktari wenye uwezo toka nje.

Usitake kupotosha kuhusu mimi kutokumpenda magufuli, ni kweli sikumpenda maana hakuna sheria yoyote inayotaka mimi nimpende. Lakini nimekuonyesha mifano halisi ya hizo sifa za kijinga unazotaka kumpa Magufuli kama vile hatukuona utawala wake.
 
Niliposoma nikaona neno Magufuli hata clip yenyewe sijasikiliza
Lizee liliharibu nchi sana lile, wanaomtetea ni misukule yake isiyojua chochote
 
Sikiliza ndugu, mwaka 1984 Nyerere akiwa rais kulitokea moto wa gas huko Arusha. Nyerere aliagiza madaktari toka Ujerumani, wahanga wengi walipona kwa kumeza moto wa gas baada ya wale madaktari kuja. Hiyo ni miaka zaidi ya 35 iliyopita. Hawa wahanga wa ajali ya moto waliletwa hapa Muhimbili, kila siku alikuwa anakufa mmoja hadi watatu Hada wakaisha wote! Tulipiga kelele kwamba hakuna uzalendo kwenye maisha ya watu, aidha wahanga wapelekwe nje, ama waje madaktari wenye uwezo toka nje.

Usitake kupotosha kuhusu mimi kutokumpenda magufuli, ni kweli sikumpenda maana hakuna sheria yoyote inayotaka mimi nimpende. Lakini nimekuonyesha mifano halisi ya hizo sifa za kijinga unazotaka kumpa Magufuli kama vile hatukuona utawala wake.

Hilo ni moja Kati ya mambo mazuri ya Nyerere na kuna mengi mazuri ya JPM simple
 
Mkuu acha kuandika kama una ufadhali kwenye maisha yako watu street wanaumia kichizi, Huyo bibi mkubwa ameongea point tupu na amehusisha suala la jinsia kwa sababu ukiangalia ni kweli hata kama huoni ila kiuhalisia viongozi wa chini yake wanamuona dhaifu tu na kiuhalisia ni kwamba wanajua hana uwezo wa kusimamia jambo likakamilika kiukamilifu, Hii nchi inahitaji mtu mwenye machungu na anaeweza kujitoa bila woga.... Inahitaji kiongozi ambae yupo tayari kufa kwaajili ya wananchi wake lakini bila hivyo hamna maendeleo yoyote.... Hata katiba ikibadilika bado kama hatuna kiongozi strong bado tutaendelea kusaga meno
Wewe unaona ndivyo ilivyo? Unataka tuweke mifano ya vitu vilivyokamilika au upuuzi wenu tuu wa mfumo dume?

Mfumo dume unamuona mwanamke ni dhaifu Sasa tuje kwenye uhalisia ndivyo ilivyo? Hiyo ni sawa tuu na kujilisha upepo..

Chukukia wanaume wamekuwa Marais Miaka zaidi ya 60 ,haya tuambieni kipi Cha Maana kilikamilika?

Penis sio kigezo Cha uongozi mzee Wala usijihangaishe na stori za kufikirika.
 
Ametukana na tutamkamata tu...
Huyu bibi wa 47 years was high AF
Alianza vizuri lakini kaharibu...hatuhitaju viongozi Kama Idd Amin.
Hivi huyu diaspora fake amewahi kusoma ukatili wa Idd Amin.
"If you scared,Go to church"
Unamkamata nani? Kwa kosa gani?
 
Anazo points lakini inaonyesha tatizo lake kubwa ni Rais mwanamke.
 
Wewe unaona ndivyo ilivyo? Unataka tuweke mifano ya vitu vilivyokamilika au upuuzi wenu tuu wa mfumo dume?

Mfumo dume unamuona mwanamke ni dhaifu Sasa tuje kwenye uhalisia ndivyo ilivyo? Hiyo ni sawa tuu na kujilisha upepo..

Chukukia wanaume wamekuwa Marais Miaka zaidi ya 60 ,haya tuambieni kipi Cha Maana kilikamilika?

Penis sio kigezo Cha uongozi mzee Wala usijihangaishe na stori za kufikirika.
oi mzee me sijasema jinsia ndo ina-matter pekee nilichokisema ni kwamba nchi inahitaji kiongozi strong na asie na woga kama Hayati ili tuone mabadiliko ya hali mbaya iliyo sasa
 
Huyu bibi ametuharibia nchi yetu.angekuwa jpm asingekubali huu upuuzi wa kuhangaika na maji.Miaka 61 ya Uhuru tunategemea mvua.mwaka 2018 mvua zilichelewa lakini upungufu wa maji haukuwepo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie miradi 5 tuu ya maji aliyofanya Mwendazake kwa Miaka 6 ya Urais wake nitoke jf..

Point Ni kwamba angekuwepo Mwendazake as we speak Tanzania ingekuwa imefikisika na Kama kawaida yake na excuses angekuambia yeye hajaleta ukame na ukipanua domo.lako unakula chuma..
 
Ana hoja ila ameharibu hapo anaposema suluhisho ni Rais mwanaume!! Wanaume wenyewe ndio hao kina Nape unategemea mabadiliko Gani?

Agenda ingekua Katiba mpya ndio maana Kenya Rais Kenyatta alikua mdhaifu ila mahakama na bunge ilikua inanyoosha mafisadi!! Hii kutegemea mtu mmoja ndio afanye Kila kitu naona tunarudi kule kule tu.
Pmj na katiba ya Kenya ila ufisadi Kenya Ni wa kutisha mno Ni taifa la kwanza africa mashariki na Kati kwa ufisadi katiba Yao iko vip
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom