Mimi namkumbuka christian katembo.ngoma za kwetu anaingia studio na manyanga na akianza kutaja jina lake utasikia mnyama tembo,na ndugu zake komba,mbawala,mapunda wapo studio leo! Na anaongea kwa lugha za makabila yote yaan unataman kipindi kiwe kila siku
hawa wahindi wanafanya kamari ya kulazimisha.wanajua wanachokifanya wao wanajali faida,wakati hawatazami ubora wa huduma,juzi tu walitupandishia vifurushi vya internet.baada ya kulalamika sana wameturudishia na sasa hili na wizi kutuma pesa kwa kutumia simu.wakiona umetumiwa pesa nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.