Nimerudi mkuu na this time with a lot of research,tujadili:
QUOTE 1:
Genocide zinazokubalika bila kupingwa mfano ya wanazi vs wayahudi zilitokana na chuki tu (ukabila, dini n.k kama ulivyosema), hakukuwa na jeshi la wayahudi popote pale lililokuwa linashambulia serikali ya hitler kijeshi...