Kagame atoa onyo kali kwa 'WASALITI'

Kagame atoa onyo kali kwa 'WASALITI'

wala sijachoka. Hizi hapo juu kwani sio facts? Nimetembelea profile yako nimeona jinsi unavyoshiriki mijadala mingi kuhusu Rwanda na upande gani upo that's all. Kuhusu ile mada yetu ipo pale pale.

Nafikiri toka nijiunge humu sina hata michango inayozidi 10,sasa iyo mingi umeitoa wapi?na kama ni issue ya michango mimi na wewe nani anadeal na haya mambo kuliko mwenzie,je na wewe si mtanzania?zingatia pia hili kati ya posts zangu zote,mbili za hapa uliponileta na takribani kama tatu nne hivi zinagusa ile mada yetu,huku uliponileta sio kwangu sitapajadili,subiri wenyewe watafika.Bado nakuheshimu, nakusubiri kule tunapojadiliana, naamini kuna mambo mengi ya kujifunza baina yetu na naamini hatutafikia huko unapotaka kunipeleka.
 
Unajua mauaji yako dunia nzima,nafikiri mauaji yanayofanyika tz nizaidi ya rwanda,ila kwakua pk amekua target ya hao wazungu sana sana wafaransa na wabeligiji wanatumia media ya kuendesha kampeni dhidi ya pk,tz haiongelewi ingawa watu wanakufa usiku na mchana kwani haiko kwa spotlight.

hivi kwa nini unatetea mauaji anayofanya kagame kwa sababu finyu eti hata Tanzania mauaji yapo, kuna msemo wa kiswahili usemao mwenzako anapiga ngozi wewe mjinga unaigiliza na kwenda kumpiga mkeo!
 
Unajua mauaji yako dunia nzima,nafikiri mauaji yanayofanyika tz nizaidi ya rwanda,ila kwakua pk amekua target ya hao wazungu sana sana wafaransa na wabeligiji wanatumia media ya kuendesha kampeni dhidi ya pk,tz haiongelewi ingawa watu wanakufa usiku na mchana kwani haiko kwa spotlight.

You are right..mwisho wa siku watu wanaangalia upande mmoja
 
Amesema usaliti una madhara makubwa sana,na malipo yake ni ya haraka sana!ametoa onyo kwa wote wenye mawazo ya usaliti na kuua watoto kwa maguruneti(pesa za ccm ujerumani) kamwe hawatapona!!source BBC swahili dira ya dunia
 
Mtu yeyote mwenye nia ya kupindua TAIFA/DOLA kwa njia ya mtutu au utaratibu husika ambao katiba Hauifahamu ndo anaitwa MHAINI-lugha ya kisheria (refer kagame mwenyewe alivyomuua Juvenal Hy kwenye ndege )

Sasa swali langu huwa najiuliza kwani CDM ni dola?Namshangaa sana mwanasheria TL anapokua anatumia hili neno
Au ndo muendelezo wa upotoshaji wa maana halisi ya neno kwa sababu za kutumiwa?
 
kwani ni lazima kuua wapinzani wa kisiasa? Siasa ni demokrasia
 
kuna siku tutashuhudia mauaji makubwa zaidi kwa sababu ya nguvu kubwa inayotumika kunyamazisha sauti za maridhiano

Kuna ukweli naunayo yasema wakati watu watahitaji kuondoa serikali imbayo iko katika process ya ku unity watu wake na kuondoa tofauti zilizokuwepo katika wanyarwanda,sasa kuna watu wanao taka kukwaza hiyo process,kwafaida ya watu wengi vikwazo vinabidi kuondolewa,sorry si mshabiki wa mauaji lakini wakati mwingini ni lazima kwafaida ya watu wengi.
 
Hapakua cha ushauli pale,bali kalikua kamchezo ka kidiplomasia wakati jamaa walikua waisha panga mchezo mchafu dhidi ya kigali,na hilo kigali ilikua inalijua,link kati ya jk na karegeya na fdlr,nyie mnafikiri gov ya rwanda ni vichaa wa kutaka kukosana na tz? Lakini wakati meingine watu wanalazimishwa kuwa katika hali ambayo haikua necessary,rwanda ina advantages nyingi kwa kushirikiana na majirani,inabidi mkaechini na kuchambua kwa kina nini kilisababisha hizi nchi kua maadui bila ku jump into conclusion.

It started in 2012 when from no where TZ- FR relationship blossomed like mushroom from no where, generally it is very good if intentions are genuine good, but here it was not, with three trips of TZ high official in six months(BM,JK) you could sence something was being cooked and you could smell it from far, add to more than one trip every two months of Gen Stanislas Nzeyimana or Bigaruka alias IZABAYO (FDRL second in Comand) and the Spy Master Karegeya to Dar-es-salaam from Eastern Congo and SA to organize and highlight all key isues involving the main players of eastern Congo including a platoon of Bigaruka's force to act as guides. Rwandan Binocurals had seen enough, and to PK enough was enough but, there was no way any confrontation could be wise. So the players had to find an extra mile, entered the genius spay master with an advice that will sure provoke all Rwandan and after being verified in France it was left to be spoken by one Man, One Man whom all Rwandans including PK had assumed very important to them and whom they were treating with utter respect despite all mischief this was non other than Our own JK, as predicted by all players, this was a turning point, there was no way Rwanda could talk with Genociders and all hell broke, unfortunately what all expected to happen (Rwanda entering into the fire and to be burn completely) using a combination of ........Did not happen PK was wise enough not to be involved instead he guarded his borders jealously. and right now the storm is almost over. Traitors are no more of a threat Bigaruka and Karegeya who were selling Rwandas Military intelligencies

(AfroAmerica Network: News, Resources, and Social Networking) at the following link: How FDLR Top Commander General Stanislas Nzeyimana Was Abducted by Rwandan DMI

Unknown, this report is very interesting. That means, the tanzanian Military ask the FDLR's help for their Intervention Brigade in eastern Congo?! Now, what's going on here? Shouldn't this "Special Forces" eliminate ALL THE REBELL GROUPS there? So, what is the FDLR? I think, it was one of the most wanted Rebell groups, who brought a lot of disaster to the Kivus? Nevertheless, the story is believable, because it has always been clear, that these foreign troops will be downsited in the jungle area. So they will need help with local knowledge, and it seems that nobody trust in the capability of the congolese army
 
Rais Paul Kagame wa Rwanda
ameonya kwamba atakayethubutu
kulisaliti taifa hilo atakiona cha
moto.
Rais Kagame alikuwa akielezea hisia
zake wakati wa sala za kuombea
taifa hilo kwa awamu ya kumi na
nne.
Hayo yamejiri siku chache baada ya
kuuawa katika mazingira ya
kutatanisha kwa aliyekuwa kiongozi
wa ujasusi nchini humo Patrick
Karegeya katika hoteli moja nchini
Afrika Kusini.

Source: BBC

Hizi salam zinahusianaje na Zitto Kabwe?
 
ukiunganisha dot kwa umakini kati ya tetesi za kuuwawa kwa PK,statement aliyotoa leo kuhusu wasaliti,kuuwawa kwa karegeya,JK and the JWTZ,unagundua kuna matukio mazito ya kijasusi yanatendeka nyuma ya pazia kati ya tz na rwanda.time will tell,i'm saving my breath for now.
 
Kwa taarifa yako hao jamaa wako wanaomboleza kifo cha spy wa rwanda,kwani kwao alikua master planner dhidi ya rwanda,sasa link imekatwa sasa shangaa hao wote wanatafuta nini kwa nchi ndogo kama rwanda,nafikiri wao wanaujua ukubwa wa rwanda kwani hata mimi nashangaa inabidi wataalamu watujuze kwanini hawajamaa wanatamani mageuzi rwanda?

kuna source yoyote kuthibitisha ushirikiano wa karegeya na jk, zuma, france...? au ni hallucinations za Kagame kuwa na imaginary enemies from france to kayumba to karegeya, kikwete, zuma...
 
Hebu acheni unafiki,nashangaa jinsi mnavyo wachukia watusi eti leo mtusi karegeya amekufa eti mmesikitika sana? mbona hamkusikitika wakati watusi wanauwawa rwanda,DRC,na wakati walipokua wakitimuliwa tz juzi? huo ndio unaitwa unafiki,nani ambaye hajui kama karegea alikua swahiba wa jk,zuma na kabila wakipanga uovu dhidi ya wanyarwanda,now payback time.

Msivunge! WAPINZANI HALISI WA KAGAME WAMEMSHTUKIA JASUSI WA KAGAME ALIYEJIVIKA NGOZI YA KONDOO (KAREGEA) NA 'WAMEMUWAHI KABLA HAJAWAWAHI, UNAFIKIRI GOMA WALIKUWA WANASHANGILIA NINI? SUBIRI!

is
!
 
Bwana jMALI,hatuangalii jinsi tz mlivyo anza bali tunaangalia jinsi mlivyo malizia,unaweza kua mwanzoni ulikua mzuri lakini ukamalizia kwa ukatili,nakubaliana na uliyo yasema hapo juu kuhusu wema wa tz,lakini mmeharibu katika umaliziaji,na hiyo ndio inapewa uzito,huwezi kumpenda mke,ukamuoa,na mwishowe ukamuua halafu tuseme ulimpenda? sorry inauma jinsi mlivyo wasaliti hao mlio watendea mema wakati wa baba wa taifa mwalimu nyerere na ataendelea kukumbukwa na wanyarwanda milele.


Wahaya wana msemo ambao tafsiri yake ni 'KAMA UMEGAWA BASI ONGEZAPO', mi nafikiri methali hii waliitoa kwa 'wajanjawajanja' (I mean Watusi!)
 
kuna source yoyote kuthibitisha ushirikiano wa karegeya na jk, zuma, france...? au ni hallucinations za Kagame kuwa na imaginary enemies from france to kayumba to karegeya, kikwete, zuma...

siyo kwamba pk ana hallucinations na tz na sa, kitendo cha kuipiga m23 na kuziba maslahi yake ndiyo chanzo hasa cha hili bifu!!!!kumbuka france ndiyo iliyokua cordinator ya hiyo vita!!!
 
Back
Top Bottom