Recent content by ndonago

  1. ndonago

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei za Ram

    Mwenye wire unaosoma data kwenye hdd: pc aina ya FUGITSU au siemens tuonane 0621440518, 0765395007
  2. ndonago

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

    Mambo mengine ni kizazi na enzi yake ... Yaani tunashindwa angalia leo tunakoseana wapi kwa enzi zetu tunaangalia mahusiano ya karne zilizopita... Leo tujadili elimu yetu, rasmal zinatupeleka pazuri au la.. Siwez nikamjadili karl peter alivyomwadhibu jamaa yetu kisa alitembea na kimada chake...
  3. ndonago

    JamiiForums Tanzania PAPA: Sijaruhusu ndoa za jinsia moja ila kubariki vitu vyao kama magari, Nyumba, Mashamba ni ruksa Misingi hii ya Kanisa Katoliki iliwekwa na Mungu

    Imani yangu ni kuwa IMANI IPO NDANI YA MTU KATIKA KUMWAMINI MUNGU.. kanisa, padre, mchungaji nk. naona hawana hatma ya uhusiano wangu na Mungu wangu.. nashukuru wameleta ukristu nikautambua mambo mengine ni yao na ushetani wao
  4. ndonago

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza...

    A.D halafu unasema kabla ya Kristu duh
  5. ndonago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Simple tu vp una kadi ya mpiga kura?... Kama unayo tumia kama kielezo. Au tumia leaving cetf.
  6. ndonago

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa UAE kwenye Mbuga, Bandari, Misitu, Tanesco: Nini kingine hatukijui?

    Nakumbuka kuna miaka fulani tuliwasikia wenye akili wakilalamika dharau zimezidi hadi twiga anawekwa kwenye ndege.. Sasa je wakipewa uhuru wa kusimamia misitu itakuwaje... Mvivu kufikiri ataongezewa ujinga tu na anayetafuta maarifa Mungu atambarikia maarifa mengi inategemea focus yetu...
  7. ndonago

    JamiiForums Tanzania Wale ambao tunaishi na watoto wa watu na hatujapeleka hata 100 ya mahari tukutane huku

    Kwani mwanaume naye huwa hatunzwi na wazazi wake hadi mnasema mtoto umemkuta katunzwa??? Biashara ni biashara tu... Sijawahi ona zawadi inapangwa na comand juu labda biashara tena sio barter trade ya akina vasco da gama bali za karl peters. Kama mahari ni zawadi subiri watakuletea sio uwapangie...
  8. ndonago

    JamiiForums Tanzania Moja wapo ya Fungu kwenye Biblia linalotafsiriwa vibaya: Matendo ya Mitume 10:15

    Kuna watu wanajuta kwa nini hawali hivyo vyakula lkn tu mifumo ya maisha inawakataa na makanisa yao na watatamani siku ya kiama wao wajiweke mbele kuwahukumu wengine waliomla mdudu.. ngoja tu tafsiri ya Mungu siku ya mwisho.. utashangaa vice versa is true
  9. ndonago

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Umeambiwa unaishi kinyume cha sheria lkn bado unakaza shingo pesa haitoshi basi ondoka bila kuchukua hela ya serikali.. Kuwa shabiki wa simba shida sana kila kitu kubisha
  10. ndonago

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 za kwanini bado upo single

    Saf
  11. ndonago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Baba ana siri zake kuhusu uzazi wake. So usijiforce eti mwanae kabisa..Huenda kakuhurumia tu kuitwa mwanae Anyway hiyo mali naye alitafuta maana babu yako alimkamia hivyo2 so nawe tafuta uwafadhili au uwakamie wanao
  12. ndonago

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kitanzania hawana tofauti na Wazee wao. Wamezoea shida mpaka shida zimekuwa wao

    Nafurahi sana kuwa ndani ya jf.. Kuna mtu alisema kama watu akina galileo, newton, plato, henry ford nk wangeishi karne ya leo hii, duniani hapa huenda baadh ya watu wangehamishwa wakaishi sayari yao. Maana penye njia wao wanaleta vizuizi hadi wanakuwa kizuizi chenyewe
  13. ndonago

    JamiiForums Tanzania Wazazi na ndugu wa mke wangu wananikosesha raha

    Hii story tumepigwaa... Hasa pa kutumia hasira kumtega mkwe
Back
Top Bottom