Mkimbizi99
Member
- Jul 18, 2020
- 66
- 62
watu mna vituko, et kakubali
Unasikitisha sana...Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali 😥😥😥😥
MNISHAURI SANA🙏🙏🙏🙏NASOMA COMMENTS ZOTE.
Duuu, aisee Pole sana....Ila hawa watu wa Mpwapwa wana tabia chafu sanaa. Yaani ulivyomtongoza mama mkwe ndo umeharibu kabisa. Maana kukataa huwa ni ngumu...Wengi wao huwa wanajitongozeshaWakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi wake, nyumba yenyewe nimepanga nyumba viwili na sebule.
Sina raha hata kujiachia na mke wangu siwezi, mwezi wa nne huu hata mzigo sijala maana asubuhi nimeenda kazini, nikirudi jioni watu wamejaa na usiku wanalala sebuleni wengine chumbani.
Nimevurugwa kijana mwenzenu pesa yote ninayopata ambayo tungenunua hata kiwanja inaishia kwenye chakula na wanakula mno. Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
Ndugu zangu naomba ushauri nifanye nini, nikimbie nyumba au niwafukuze mimi mwenyewe.
Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali
MNISHAURI SANANASOMA COMMENTS ZOTE.
Dah mkuu kwa kweli sikuwa nafahamu na nilikosea sana maana nia yangu ilikuwa ni kumfanya aondoke.Duuu, aisee Pole sana....Ila hawa watu wa Mpwapwa wana tabia chafu sanaa. Yaani ulivyomtongoza mama mkwe ndo umeharibu kabisa. Maana kukataa huwa ni ngumu...Wengi wao huwa wanajitongozesha
Cha misingi tafuta tripu usafiri na mke wako waachie chakula kidogoWakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi wake, nyumba yenyewe nimepanga nyumba viwili na sebule.
Sina raha hata kujiachia na mke wangu siwezi, mwezi wa nne huu hata mzigo sijala maana asubuhi nimeenda kazini, nikirudi jioni watu wamejaa na usiku wanalala sebuleni wengine chumbani.
Nimevurugwa kijana mwenzenu pesa yote ninayopata ambayo tungenunua hata kiwanja inaishia kwenye chakula na wanakula mno. Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
Ndugu zangu naomba ushauri nifanye nini, nikimbie nyumba au niwafukuze mimi mwenyewe.
Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali 😥😥😥😥
MNISHAURI SANA🙏🙏🙏🙏NASOMA COMMENTS ZOTE.
Kumbe hata watoto hamna. Yani watu 8 wote unahudumia ww. Na nyumba ni ya kupanga? Sepa Baba. Sepa. Issue ni kazini mkeo anapajua.. Kama unaweza kuhama kikazi fanya ivyooo.Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani imekua kero mi mwenyewe ndio natafuta maisha lakini nyumbani tupo jumla watu tisa pamoja na wazazi wake, nyumba yenyewe nimepanga nyumba viwili na sebule.
Sina raha hata kujiachia na mke wangu siwezi, mwezi wa nne huu hata mzigo sijala maana asubuhi nimeenda kazini, nikirudi jioni watu wamejaa na usiku wanalala sebuleni wengine chumbani.
Nimevurugwa kijana mwenzenu pesa yote ninayopata ambayo tungenunua hata kiwanja inaishia kwenye chakula na wanakula mno. Mke wangu nimejaribu kumwambia awambie ndugu zake na wazazi warudi kijijini lakini hataki eti anatamani awe nao karibu ili akibahatika kupata mtoto wamsaidie kulea.
Ndugu zangu naomba ushauri nifanye nini, nikimbie nyumba au niwafukuze mimi mwenyewe.
Rafiki yangu mmoja alinishauri labda nimtongoze mama mkwe lengo achukie aondoke na mmewe lakini cha ajabu amekubali 😥😥😥😥
MNISHAURI SANA🙏🙏🙏🙏NASOMA COMMENTS ZOTE.
Ya kumuondoa tu.Kama ipi kiongozi.
Usijaribu, Fanya kweliPoa mkuu nitajaribu.
Tutaishije bila kuoa sasa?MSIOE by Liverpool VPN