Nyie vipi wana bodi? Ukisharipoti iweje sasa? What matters ni hatua zinazochukuliwa na sio rushwa ngapi na wapi kwa siku. Tunajua mahakama, polisi hospitali, bandarini, maliasili, vyuoni, ardhi, halmashauri na idara lukuki kote kuna rushwa tupu, lakini ni hatua zipi zinazochukuliwa kwa wale...