Kama walikuwa wanahujumu chadema ni vema na haki kuchukuliwa hatua stahiki kama wale madiwani wa arusha ili iwe funzo kwa madiwani wengine wenye njaa kama hao
sababu chagulani sio mchagga ndio maana
Kama walikuwa wanahujumu chadema ni vema na haki kuchukuliwa hatua stahiki kama wale madiwani wa arusha ili iwe funzo kwa madiwani wengine wenye njaa kama hao
Owawa Stephen J
CHADEMA yawavua uanachama madiwani wawili wa mkoa wa Mwanza na kuvunja Uongozi wa Chama Mkoa uku madawani wote wakipewa onyo kali,Maamuzi haya yameniumiza sana kwani moja wa aliyevuliwa uanachama ni Adam Ibrahim Chagulani diwani wa Igoma, Mwanaharakati mahiri tangu tukiwa UDSM.
Nini mustakabali wa Vijana ndani ya Vyama vya Siasa?
Siyo kweli,demokrasia yo yote ina gharama yake. Chama (iwe CCM,CUF,CDM) kuna taratibu na kanuni zinazosimamia viongozi. Miiko ya uongozi ni muhimu kutekelezwa,Tukiwapa urais sitashangaa kuona mnamvua rais wa nchi uanachama tunaanza kuhangaika kurudi kwenye makatiba na tafsiri za kisheria.
Ni muislam aliingiaje huku????????????????
Wananchi wa Mwanza wamewachagua Chadema wanawafukuza.
Udikteta wa kuwanyamazisha watu. Na hii ni kwasababu udiwani hauongezi ruzuku.
Mbona Shibuda hawawezi kumfuta?
Owawa Stephen J
CHADEMA yawavua uanachama madiwani wawili wa mkoa wa Mwanza na kuvunja Uongozi wa Chama Mkoa uku madawani wote wakipewa onyo kali,Maamuzi haya yameniumiza sana kwani moja wa aliyevuliwa uanachama ni Adam Ibrahim Chagulani diwani wa Igoma, Mwanaharakati mahiri tangu tukiwa UDSM.
Nini mustakabali wa Vijana ndani ya Vyama vya Siasa?
Sasa ulitegemea nini, na huyo Adam Ibrahim.
KATIKA HILI NAKUUNGA MKONO! Wamekosea sana!
Wananchi wa Mwanza wamewachagua Chadema wanawafukuza.
Hivi hao kamati ku hawakuona adhabu nyingine kwa makosa kama haya zaidi ya kufukuzana? Haya wakiendelea kufukuzana hivi watabakia wangapi!