Recent content by Ndole

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    [emoji3][emoji3][emoji3] kuna kijiji hapo umekitaja nakielewa sana. Nadhani unajua maana ya neno LUGUMYA kwa kikerewe au kijita
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nadhani itakuwa yenyewe. Huyu jamaa atakuwa wa kule
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane

    Mkuu sehemu kama Same unaweza kupandikiza kitunguu mwezi wa tatu. Nikiwa namaana kuwa nitasia mbegu mwezi wa kwanza au wa pili.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbegu ya kitunguu neptune F1

    Sawa Sent from my TECNO R7 using JamiiForums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mbegu ya kitunguu neptune F1

    Hizi mbegu zinauzwa Balton. Kama huko Mbeya kuna branch yao basi nenda utapata. Usipopata njoo Balton Dar es salaam.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete alipigwa vita ndani na nje

    6P Y U Tyuttqu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete alipigwa vita ndani na nje

    8yupuyyiipiiii !. .- ; ^ 67 0((~.))@.1 ~ ~7 .^ iliyiipuup Yub689.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kikwete alipigwa vita ndani na nje

    0 Z.pt607 778
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Airtel ni wababaishaji kiasi hiki?

    Kama uliko Zantel iko safi basi achana na Airtel
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya Water pump Ndogo (Manual)

    Hebu nipe namba za hao jamaa mkuu
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya wa mashine za kutotoleshea mayai

    Nchi hii kwenye bihashara bado sana. Acha wahindi waendelee kutuibia tu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Aisee!! mimi house girl anafua nguo za mtoto tu. Nguo zangu zinafuliwa na mke wangu. Sitaki kuona hg anafua nguo zangu. Hata za mke wangu hatakiwi kufua.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nina toa ushauri kwenye kilimo cha alizeti, mbaazi, maharage na mahindi

    Maswali kama haya kwa mtama pia hasa mweupe.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Mkuu Allan, hebu niunganishe na wanaouza mizinga ya nyuki wadogo. Nahitaji mmoja...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha umwagiliaji kwa njia ya matone

    Hebu weka namba zao za simu hapa.
Back
Top Bottom