Kikwete alipigwa vita ndani na nje

Kikwete alipigwa vita ndani na nje

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,742
Reaction score
32,351
Ni kweli mambo aliyofanyiwa kikwete angekuwa Rais Magufuli asingekubal. Ni mengi ambayo alisingiziwa ndani ya nchi na watu wa chini yake. Naye alikuwa ni mvumilivu sana... Walianza na kumpa Ph.D ambayo naamini angekuwa Rais mwngne angekataa na kumfunga huyo mtoaji kwa kumsanifu.

Kikwete aliikubal kwa furaha kabisa. Nchi za nje nao wakajibu mapigo wakampatia nyingne... Wangekuwa wananchi wa nchi nyingne wangefanya maandamano kupinga rais wao kufanyiwa vitendo vya kebehi kias hicho.

Lakin yeye maskin akaipokea na naamini ameibandika nyumbani kwake ukutani. Wachina wakaona wao ndo sasa wamalizie kabisa wakampa Uprofesa....

Jamani ni kwa nini tuliruhusu rais wetu asingiziwe mambo yote hayo? Why? Tulipaswa kukataa yeye kusingiziwa hayo mambo makubwa.

Je, unadhan wangeweza kumsanifu Mhe. Magufuli hivyo?

Thubutu.
 
8yupuyyiipiiii
!.
.-
;
^

67
0((~.))@.1
~

~7 .^
iliyiipuup
Yub689.
 
Muulize mh Mnyika, aliliona hilo mapema akalionya taifa japo wengi walimpuuza na kumkejeli; sasa alichokiona Mnyika ndio majipu yanayotumbuliwa!
 
Kinachoshangaza ni kuwa huo u dr au u prof ni kwa viongozi wa Africa tu.
Sijasikia Obama nk akipewa hizo tuzo.
Dr. Barack Obama ? Sijasikia !!!? ...au labda nina uelewa mdogo
 
Kwan unadhan wao mapoyoyo kiasi icho. Tuzo wanapewaga vibaraka
 
kinyesi kutoka kwa chizi.

Ni kweli mambo aliyofanyiwa kikwete angekuwa Rais Magufuli asingekubal. Ni mengi ambayo alisingiziwa ndani ya nchi na watu wa chini yake. Naye alikuwa ni mvumilivu sana... Walianza na kumpa Ph.D ambayo naamini angekuwa Rais mwngne angekataa na kumfunga huyo mtoaji kwa kumsanifu.

Kikwete aliikubal kwa furaha kabisa. Nchi za nje nao wakajibu mapigo wakampatia nyingne... Wangekuwa wananchi wa nchi nyingne wangefanya maandamano kupinga rais wao kufanyiwa vitendo vya kebehi kias hicho.

Lakin yeye maskin akaipokea na naamini ameibandika nyumbani kwake ukutani. Wachina wakaona wao ndo sasa wamalizie kabisa wakampa Uprofesa....

Jamani ni kwa nini tuliruhusu rais wetu asingiziwe mambo yote hayo? Why? Tulipaswa kukataa yeye kusingiziwa hayo mambo makubwa.

Je, unadhan wangeweza kumsanifu Mhe. Magufuli hivyo?

Thubutu.
 
Jk katika utawala wake alifanya mambo moja tu 10 years is maana. Kuzuia mpango haramu wa Edward Ngoyai Lowasaa kuwa Rais wa Tano. Mkapa alifanya mengi sana akaharibu mwishoni kabisa kwa kuogopa mikwala ya matapeli wa Mtandao akawapa nchi wakaharibu jk kapatia mwishoni kuwanyima nchi matapeli wenzie. Kwa hili mimi binafsi nimemsamehe yale mengine japo sishawishi wala kulazimisha wengine kumsamehe
 
Jeikei alkuwa kilaza cc FaizaFoxy

Sio sahihi kumwita kilaza labda tumwite
Jina lingine. Mtu aliefanikiwa kutapeli watu 45 Million wakiwemo matapeli wenzie si kilaza. Wewe mtu akikutapeli akakuingiza mkenge wewe na yeye nani kilaza?
 
Last edited by a moderator:
Sio sahihi kumwita kilaza labda tumwite
Jina lingine. Mtu aliefanikiwa kutapeli watu 45 Million wakiwemo matapeli wenzie si kilaza. Wewe mtu akikutapeli akakuingiza mkenge wewe na yeye nani kilaza?

NimeEDIT
 
Back
Top Bottom