Recent content by ndizeye

  1. ndizeye

    Wanaume walipwe zaidi kuliko wanawake kazini

    https://www.toprevenuegate.com/ak9grpds3c?key=2ec29e3ccea608858235a0a0ef290a32
  2. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Asante Sana kwa mfano huu sikutaka kwenda ndani zaidi ila nataka kukujuza kuwa macho yetu yanatoa rangi ya blue kwa sehemu ambazo mwisho wake huko mbali . Sasa mfano ulio toa huo unausisha layer za chini kabisa za bahari mbili izo .... Kiufupi bila kwenda kisayansi rangi ya maji inayoonekana ni...
  3. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Mi huyu jamaa sijamsoma hata kidogo aliye mwelewa anisaidie
  4. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Dah.... Inamaana hata mmesahau kale ka definition ka Gas ... (a substance or matter in a state in which it will expand freely to fill the whole of a container, having no fixed shape (unlike a solid) and no fixed volume (unlike a liquid).
  5. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Kasema kitu kizito sana hapaswi kuachwa ivyo... hukimuacha bila kujua ukweli nayo ni dhambi.... Hata shuleni kulikuwa na mwalimu mkali na mpole ... so usiogope watu wengine kuwa negative... yaani namaanisha usipende kudekadeka.
  6. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Nakupa homework kidogo, kama mtaani kwenu kuna kipofu mtafute jenga naye mazoea ,, Then shika kitu muulize hiki ni Rangi gani ?..... Ukipata jibu Rudi kwenye uzi huu sema alikujibu nini....
  7. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Usipende kusoma kitabu kimoja (Bible) soma vitabu na source mbalimbali za taarifa ili ufanye tafsiri sahii ya kitu unachoweka ndani ya kichwa chako.........
  8. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    We unaonaje ?
  9. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Uongo ukisema ivyo kachote maji baharini uone kama ni blue.
  10. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Nakupa mfano mwepesi sana usipotafakari basi ukalale: Maji ya Ziwa , Maji ya Bahari ukiwa mbali huonekana Blue but ukisogea ukayachota yanakuwa Hayana rangi (colorless ) Hii inakuonyesha sehemu yoyote yenye kina kirefu ikipata mwanga kwasababu inakuwa aina mwisho kwa upeo wa macho yako basi...
  11. ndizeye

    Naumia sana kubaguliwa na wazungu kila wakati

    Rudi home bro acha kung'ang'ania kwa watu...... Unataka haki utadhani huko kwenu...... hata wenyewe wanaumia wametumia hela zao vizuri wameendeleza taifa lao wenzao kina sie tunatumia zetu kijinga........ (tunasomesha wachumba)
  12. ndizeye

    Kwanini anga lina rangi ya blue?

    Usipende kutoa majibu mepesi kama hujui tulia.
  13. ndizeye

    Mh. Rais- Ndege, Fly Over , Airport Bila kujali na Kuinua Hali za maisha yetu ni kazi Bure

    M MIEZI SIJUI 20 HUKO ATAKUTA TUSHAUMIA BALAA
  14. ndizeye

    Mh. Rais- Ndege, Fly Over , Airport Bila kujali na Kuinua Hali za maisha yetu ni kazi Bure

    M KINA GADAFI WALIWEZA,,, ANGALIA NCHI ZA WENZETU HATA CHINA TU PAMOJA NA WINGI WAO LAKINI KILA RAIA ANATAMBULIWA NA SERIKALI YAKE NA ANAJULIKANA MAHALI ALIPO NA ANAFANYA NINI.
Back
Top Bottom