ndizeye
Member
- Sep 5, 2011
- 44
- 51
Asilimia kubwa ya watanzania ni masikini wanaoishi katika maisha yasiyo kuwa na furaha hata kidogo, Mi nafikiri kipaumbele cha kwanza kwa serikali yetu kingekuwa kuhakikisha utu wa mtu kwanza kwa kufuatiria kwa ukaribu kabisa namna wanavyoishi kwa kuboresha na kumrahisishia kila mtanzania aweze kuishi maisha yenye amani na furaha… Haya si mawazo yangu ya kufikirika nadhani hata wewe unayesoma hapa umeshawahi kusikia na kupata taarifa za nchi ambazo serikali inamthamini Raia wake kwanza ndio mambo mengine yanafuatwa .. Nitoe pendekezo tu kuwa badala ya serikali kutumia fedha nyingi katika :-
Kujenga mabarabara ya juu na chini Dar wakati Tanzania hii ni kubwa mno ina maeneo mengi saana , sasa nashangaa kwanini kama Mh. Rais anaona Magari yamejaa Dar kama alivyo fanya kuhamishia serikali Dodoma anaweza kuhamisha vilevile na mashirika mengine kwenye miji mingine sio tu kungangania Dar ili nako kupate maendeleo mengine, wekeni limitation ya kiasi cha magari yanayoingia na kutoka Dar pia msiufanye Dar kuwa mji pekee wa muhimu tengenezeni fursa zilizopo Dar ziwekwe sehemu nyingine sio kila kitu Dar.
PAMOJA NA MIONDOMBINU KUTOKIDHI MAHITAJI YA DAR ILA YANAWEZA KUSTOPISHWA
NCHI IKADEAL NA RAIA WAKE KWANZA KUHAKIKISHA KILA MTANZANIA ANAFURAHIA NCHI YAKE.
Kuna mambo mengi ambayo kama serikali ikiyaacha kwanza ikakomaa na raia wake inaweza kuwatengeneza vizuri.
NAISHAURI SERIKALI
1. KUWEKEZA NA KUBORESHA MAZINGIRA YA ELIMU NA KUWEKA MFUMO MZURI WA ELIMU UNAOELEWEKA KWA WANAFUNZI WENGI MFANO kutengeneza mfumo wa ufundishaji kwa lugha yetu ya taifa mpaka elimu ya juu kabisa … Hili likifanyika naimani kila mtanzania atakuwa na uelewa na kile anachojifunza.
2. KUWEKEZA KATIKA KUFUATILIA NA KUSAIDIA MAISHA YA WANACHI KILA SIKU mfano kutengeneza utaratibu wa mafunzo ya kazi na kuweka umuhimu kwa kitu anachokifanya Mtanzania kuwa naThamani kubwa .. Mfano kama mtu analima basi Serikari iwe nae sambamba kuhakikisha akosei hatua za kilimo hii ikiwa ni pamoja na kutoa vitendea kazi bure , hii ikiwa ni pamoja na kulifanya zao analotoa mkulima kuwa lenye thamani kubwa.
NAMENGINEYO MENGI AMBAYO YANAWEZEKANA KITAALAM ILI TU KUMFANYA MWANANCHI WA TANZANIA AISHI KATIKA MAISHA YA KUTOJUTIA ….. VIONGOZI WETU ANGALIENI MAISHA YETU TUFANYE NASI TUISHI KAMA NYINYI NDIPO TAIFA LITATAWARIKA VIZURI , MAMBO MENGINE SIJUI VIWANJA VYA NDEGE KILA MAHALI WAKATI WATANZANIA WALIO WENGI HATA AWAJAWAHI KUISOGELEA NDEGE YENYEWE YATAKUJA YENYEWE . TUHURUMIENI
Asanteni