Recent content by ndiyomkuusana

  1. ndiyomkuusana

    Car4Sale Gari Daihatsu Terios Kid inauzwa

    Nahitaji pesa kaka, kama pesa ipo nicheki namba nimeweka hapo
  2. ndiyomkuusana

    Car4Sale Gari Daihatsu Terios Kid inauzwa

    Ipo Dar es Salaam, bei 7M(Negotiable), Namba D, km 135649. CC 625. Kama unahitaji nicheki 0624987746
  3. ndiyomkuusana

    Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Simba hawezi Kama atashindwa kufuzu robo fainaly mwakabhuu. Na ataendelea kutofuzu pale ambapo, msimu ujao atashindwa kucheza ligi ya mabingwa Africa . Hata Sasa taa za hatari zinawaka, uenda Simba hasicheze ligi ya mabingwa msimu ujao akaishia shirikisho
  4. ndiyomkuusana

    Natafuta Watengenezaji wa Biogas hapa Tanzania

    Namba ipo juu hapo, nitafute, au njoo Instagram Kuna video na nimezielezea vizuri I'm on Instagram as @biogas96. Install the app to follow my photos and videos. Login • Instagram
  5. ndiyomkuusana

    Nimempenda mwanamke ila wazazi wake wamenikataa

    Mambo mwingine yapo Rohon8 usilazimishe
  6. ndiyomkuusana

    Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

    Kuna Dogo mmoja Alison's IST ,baadaye akaenda kusoma ujerumani.,lakini kwa Sasa wakawsida Sana kimaisha.
  7. ndiyomkuusana

    Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    S Simba mashindano gani Kati championship au confederation. Alifika angalau nusu fainali tu, huku kwenye fainali Ni mbali, Nusu tu
  8. ndiyomkuusana

    Wanawake, ni zipi changamoto za kuishi na mwanaume aliyesimamishwa kazi?

    Shida akili zenu zote munawekeza kwenye Ajira. Ndo hapo Mambo yanakuwa magumu pale ambapo mmojawapo tegemewa anapoachishwa kazi
  9. ndiyomkuusana

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Hii katiba, ndiyo iliyomsimika mama kuwa Rais wa JMT. Nafikiri aliteleza tu. Tuendelee kumuombea
  10. ndiyomkuusana

    Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

    Huwezi fananisha ,KKT na taratibu za kiislamu, kkt Ni dhehebu, bakwata Ni Taasisi ya serikali ya kidini. Waislamu wengi hawaiungi mkono , Huwezi kukuta Baraza la kikristo Tanzania , wakaenda kuchukua kanisa flani , may be Luther house au st.joseph cathedral. Na kujimilikisha. Haitatokea, Baraza...
  11. ndiyomkuusana

    Mechi ya Azam na kitayoce irudie, hawa jamaa sio wepesi

    ndiyo linakuja insu ya fei toto kuitwa TIMU YA TAIFA
Back
Top Bottom