Mheshimiwa Ndito (Duh...we mmasai au?)
Kuoa inaweza kuwa heshima kama ndoa itakuwa ndoa ya kweli kwa maana yake halisi.....kuheshimiana, kuaminiana, kuvumiliana,kupendana, kuridhishana et el.
Lakini ndoa itakuwaje na heshima kama:
Baba anamtwanga mama makonde mbele ya watoto?
Mama anamegwa na...