The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Eti eheeee!!!What a thinkingHakuna tatizo,
kwani ex ni adui???
haupaswi kuongea naye hata maongeza ya kawaida,ikiwa wote bado mpo hai na mpo duniani?,
amejaribu kufuatilia na kugundua kuwa wanaongea mabaya???,
Apunguze kutojiamini, HUYO NI WAKE NA YEYE NDIYE MSHINDI huyo wa kwenye facebook alikuwa ni mshiriki mwenzake tu ktk mashindano ya mapenzi,madamu yeye kashinda basi atulie tuliii aufurahie tu ushindi wake, apunguze au aache wasiwasi wa mapenzi....