Wapendwa wana jf. Natafuta marafiki wa kike.

DCASHDOLLAR

Member
Apr 4, 2011
8
0
Kupitia kona hii natafuta marafiki wa kike popote pale. bila kujali umri.
join to me as soon as posible.
THANKS
 
Daahhh ok
bonyeza jina langu afrodenzi
mstari wa tatu chini upande wa kushoto
utaona add friend. Bonyeza hapo halafu
Subiri niku accept..

kama ni marafi tu
fanya hivyo maana
nimeolewa nanina watoto sita na nusu..
 
Kupitia kona hii natafuta marafiki wa kike popote pale. bila kujali umri.
join to me as soon as posible.
THANKS

Charity begins at home, kama umeshindwa kupata marafiki mtaani kwenu na kazini basi huenda na hapa ukawakosa.
 
Kila la heri, Una pesa lakini?
Money talks babu eeh.......

AD hapo juuuuuuuu, huyo mtoto nusu, nikuletee Ukwajuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
 
Charity begins at home, kama umeshindwa kupata marafiki mtaani kwenu na kazini basi huenda na hapa ukawakosa.

Umejuaje kama hana marafiki Mtaani na kazini?
Afu hakuna limitation No. of friends!
 
Kila la heri, Una pesa lakini?
Money talks babu eeh.......

AD hapo juuuuuuuu, huyo mtoto nusu, nikuletee Ukwajuuuuuuuuuuuu!!!!!!!

Hahahahahahaha lol
LD wewe mmhhh
usisahau ba sukari mwaya
Naogopa ulimi kuungua mapama hahaha lol
 
Kumbuka huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hii ni kutokana na wengi wetu kutokuwa na uhakika wa jinsia ya mtu. Kwani inawezeka mwanaJF akaweka picha tofauti na jinsia yake au kutumia jina tofauti na jinsia yake. Uwe makini katika kutafuta marafiki wa kike hapa JF.
 
Did you find this post helpful? |
icon1.png
Re: Wapendwa wana jf. Natafuta marafiki wa kike.

Kumbuka huduma ya kuzimikia/kudondokea kinadada humu JF imesitishwa kwa muda hii ni kutokana na wengi wetu kutokuwa na uhakika wa jinsia ya mtu. Kwani inawezeka mwanaJF akaweka picha tofauti na jinsia yake au kutumia jina tofauti na jinsia yake. Uwe makini katika kutafuta marafiki wa kike hapa JF.

jinsia nadhani cku hizi haimati, c unajua tena akina elton john wapo wengi, pia yawezekana wanaoficha ukweli wa jinsia zao wameishi mombasa.cdhani mwanaume timamu ugereshe jinsia
 
Daahhh ok
bonyeza jina langu afrodenzi
mstari wa tatu chini upande wa kushoto
utaona add friend. Bonyeza hapo halafu
Subiri niku accept..

kama ni marafi tu
fanya hivyo maana
nimeolewa nanina watoto sita na nusu..

Hahha watoto sita na nusu hhahha bado anatambaa nini
 
mm ningefurahi girls nao wajitokeze co boys pekee, au boys tuna true lu than geloz
 
mimi natafuta rafiki wa ukweli wa kiume akinifaa inakua real relationship..ambaye hataniumiza moyo wangu akaacha makovu maana nina majeraha tayari..
 
Daahhh ok
bonyeza jina langu afrodenzi
mstari wa tatu chini upande wa kushoto
utaona add friend. Bonyeza hapo halafu
Subiri niku accept..

kama ni marafi tu
fanya hivyo maana
nimeolewa nanina watoto sita na nusu..

Afro nimecheka mpaka basi lol! watoto sita na nusu?
 
mimi natafuta rafiki wa ukweli wa kiume akinifaa inakua real relationship..ambaye hataniumiza moyo wangu akaacha makovu maana nina majeraha tayari..

Pole mpenzi ni hali ya kawaida katika maisha kuwa na majeraha ya kimapenzi, tena ukimwambia mtu nilishaumizwa ndio atakuumiza zaidi cha msingi ukiwa na uhusiano tena jaribu kupenda kimachalemachale, ukiona ana dalili ndizo sizo unaachana nae mapema unaendelea na maisha. Mimi huwa nashangaa mtu anaposema nimeumizwa mara nyingi sana, sielewagi kabisa
 
Back
Top Bottom