Recent content by ndisi-jujo 2

  1. N

    JamiiForums Tanzania Fuga kuku aina ya Kuroiler ufanikiwe

    Ahsante kwa ushauri
  2. N

    JamiiForums Tanzania Asante Kipanya Kwa Kujua Kunichekesha!

    Duuuu haogop kaona akorezee na rangi kabisa@kipanya
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa kanisa la KKKT azima ndoto zangu za ndoa na mpendwa wangu

    ......samahani lakin MTU amashauri aonavyo Lakn kwa hii aise aachane tu na huyo mwanamke aoe tu mwingne Mambo ya kustareh halafu MTU mwngne yampatishe shdaa nan anataka
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yametimia ya Magufuli baki: Juma Nkamia awasilisha muswada Rais kukaa madarakani miaka 7 kama Kagame

    Yaan kirahis rahis HV aongezewe muda nooo Waweke mezani katiba ile ya Warioba yabadilishwe mambo kadhaa na s hilo moja tuuu Kweli tunabatizwa kwa moto!!!!!!!!!! Watu/marais wooteeee wamepita kimya huyu tu ndo atufanyie HIV Bab j tunakupenda lakn njia unayotumia sivyo Tenga pesa watu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Pale tunapoendelea kupalilia kizazi cha watu kutothubutu, waoga na wategemea kuajiriwa

    Ni kweli watu tumekuwa wavivu waoga wa kuthubutu Halafu huwa nafikiri kuwa ni kitu labda cha kurithi!!!!! MTU labda ana kazi! Ameajiriwa lakn anashindwa kujiongeza angalau awe na different source ya income Tunasubir na kulaumu mshahara ukicheleweshwa Tuamke jamani ukifanya kitu japi kidogo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linisaidie kuwakamata watoto wangu na kuniletea kwani wanadhalilishwa

    Hahaaaaaaaaaaa albadili kazini Halafu kisandu awekwe kwenye kumbukumbu after five or ten yrs tupatr up date zake ....inshalah
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Wageni: Kauli mbaya waliyonayo kina mama wengi wa kitanzania

    Ni kweli hii inatokea ktkt familia nyingi Lakin Mara nyingi yaan kwa watu wengi ni kuzuia kwa uchakavu wa vyombo vyote vilivyoko kabati Kwa upande wangu ili kuzuia hilo nna sahan vikombe bakuli kwa ajili ya wkend au sikukuu.......sasa watoto wamebatiza jina "mabakuli ya pilau" mabakuli ya...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Wageni: Kauli mbaya waliyonayo kina mama wengi wa kitanzania

    Halafu ukute we mwenyewe hujanywa takribabi SK kadhaa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watangazaji ninaowazimia(penda)

    Bestituta Bukoli Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Watangazaji ninaowazimia(penda)

    Bestitua Bukoli Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mahakama imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa ATCL, David Mataka kifungo cha miaka 6 au faini ya milioni 35

    1bilion VS 35 million Raha sana kuish tz Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Miaka inakimbia,unamkumbuka huyu mtoto,ebu ona alivyokua sasa

    Haaaa ila wanafananna kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma

    Haaaaaaaaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Watu wanahama ujieleza nashda yako ikawa ya mshiko unahama Nimeona wamama wawil sekretariawamehamia halmashauri nilipo baada ya waume zao wamestaafu huko walikokuwa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. N

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

    Mungu amponyee Kweli amaponda sana fani za watu sio poa kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom