Recent content by ndio mzee

  1. ndio mzee

    Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapa nilipo badaiwa kama milioni 70 hivi na usheee alafu hata sielewi Jamani mikopo mitamu ila kuilipa sasa salary slip ikija ni huzuni unalia kimya kimya [emoji1787][emoji1787]
  2. ndio mzee

    Halotel wanatuibia kwenye bundle la intaneti

    Kwamba ukizima simu usiku ukiwasha asubuhi unakuta bando limeisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. ndio mzee

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Shida wakulungwa hawawezi kupa channel wabongo sijui tukoje asee
  4. ndio mzee

    Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Zanzibar vitu ghali bana hizo rahisi sijui ni wapi nimetoka Zanzibar hata week haijaisha laptop ni bei sana sana hazina tofauti na dsm
  5. ndio mzee

    UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

    Mungu ni mwema Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ndio mzee

    UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

    Mwanaume Ukiwa na sura ngumu na huna hela utaona ka unamkosi Na misemo yenu "pesa mbele sura tutavumiliana"
  7. ndio mzee

    UZI MAALUMU:Wanaume wote wenye sura kuntu( sura za kiume) tukutane hapa:

    Hahahaha daah ila nyie mungu anawaona
  8. ndio mzee

    Biashara ya samaki

    Mwenye kujua a to z ya hii biashara atupe madini Mfano uumesema kilo 8,000/= wakati hapa arusha yenyewe kilo ni 8,000/= hiyo faida anaipataje
  9. ndio mzee

    Mliowahi kukopa benki na badae kuachana na mikopo na kubaki na mitaji yenu tupeane ujuzi nasi tujikwamue

    Mkopo aseee acha tu nakamkopo ka 20M hapo NBC kananisumbua akili sana kila nikiangalia salary slip ndo nachoka mazima hiyo hela wanayokata Nimeapa sitakopa teeeeenaa nimejuta better kudunduliza tu na kuridhika na ulicho nacho Na walivyo na maneno matamu mungu anawaona
  10. ndio mzee

    Hakuna furaha anayoipata mwanamke kama hii!

    Ukitoa hela kabla hujala mzigo eroo huo ni umaandazi nani uduanzi kabisa Kuchunwa ni zilipendwa
  11. ndio mzee

    Msaada: Biashara ya kuagiza bidhaa Upcountry na kuziuza hapa nchini

    Mkuu ninahitaji sana elimu juu ya hili sijui utanisaidiaje
Back
Top Bottom