Recent content by Ndinda Senge

  1. N

    Elimu ya O-level ni ngumu sana..

    Labda unafikiri kungekuwa na continuous accessment? Kama chuo?, nadhani bado sana mazingira hatujayaandaa pia na walimu.
  2. N

    Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Hela haingalii alivyo MTU by the way anajua nini anafanya, ANAJIAMINI SANA.
  3. N

    Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Sipo mbali na wewe ushauri mzuri, by the way kitumbua kimeingia mchanga hakiliki.
  4. N

    Naogopa wanafunzi wa kike wananitega

    Mmmh!, mwalimu fake kabisa wewe yaani tatizo Dogo unaleta hapa, je ulifundishwa nini chuo?, ktk uliyosoma hukuwahi jua hili?. Jirekebishe wewe una matatizo, wewe una nafasi ya mzazi vipi mwanao angekutega ungewaambia watu?, au ungefanya nini?. Umenikera sana.
  5. N

    Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

    Kutafuta hekma za kimadaraka na kutafuta ubora ktk mambo usiyokuwa na utaalam nayo, acha nisimlaumu yeye ndivyo alivyopikwa na mkuu wake pamoja na mchungaji wake.
  6. N

    Kazi na dawa

    Kwa damu isiyo na hatia yaani MTU asiyekua na hatia, kufuru ya waziwazi kwa tawala za kiimani lazima utauwawa.
  7. N

    Kazi na dawa

    Ungetakiwa kujua ni damu ya mtu gani inatakiwa kufanyanyiwa hivyo na ndo maana matendo ya vita huwa yanakua kwa pande mwingine hayavumiliki. Ila umenichekesha sana 'nukuu aya vizuri maana hivyo in kuchekesha'.
  8. N

    Kazi na dawa

    Sisemi hakundi haya yanayojinasibiisha na uislam na kuua watu kuwa yapo sawa, isipokua kuua kumedhibiti ktk imani zote mbili lamaana sana ungeuliza kwenye Biblia ni vipengele vipi vimeonyesha waja wema wameuua ningekuonesha. Kuua kupo na hili halikwepeki haswa kwa Dola iwe ya kiimani ama ya...
  9. N

    Kazi na dawa

    Wakristo hawana sheria ila huwa wana utaratibu, na yapo mambo mengi sana nikisema utahisi nabomoa acha nichangie hili moja tu la pombe maana mimi si mtoa thread hii.' 1Petro 4:3, 1Timotheo 5:23, Mithali 20:31, Warumi 13:13, Wimbo 31:4-5, Wimbo 104:14-15, Wakorintho 10:23-24, Isaya 62:8-9...
  10. N

    Kazi na dawa

    Tatizo nililoona hapa watu wengi hawazijui hata dini zao na hata maandiko hawayajui, pia hawajui nini maana ya haramu na halali.
  11. N

    Kazi na dawa

    Kila alaye anajua kuvimbiwa kukoje na kila anywaye anajua kulewa kukoje, tuache kudanganyana mnywaji yoyote ni mlevi aliyepita ama sasa au baadaye.
  12. N

    Kazi na dawa

    Kuua kupo ktk imani zote ajili ya Mungu, yaani ndani ya Biblia na hata Quran kwa maandiko mengi tuu, ila utaonekana waajabu kama huna Dola kufanya mambo hayo, tena kwa kukusaidia Vatican wanamiliki vyombo vya usalama ambavyo ni hatari zaidi duniani, 'kuhusu la pombe hilo ni lao' maana kwenye...
  13. N

    Kama Unamacho Makali Nambie Hapo Umeona Nini??

    Amesema kitu gani wewe chagua kimoja mkuu.
  14. N

    Rais Magufuli hafikii hata robo ya uzalendo wa Tundu Lissu

    Hizi ndo hoja positive si kuropoka, safi sana nadhani bila shaka na shule pia IPO.
  15. N

    Nimeibiwa gari siku ya leo maeneo ya Bunju, msaada kwa yeyote atakayeliona

    Pole bro, jasho la mtu haliondoki kizembe amini utalipata kama si hivyo watapata nalo shida kubwa mbeleni.
Back
Top Bottom