Kingine wanachosahau hawa kubwa kwamba zamani mtumishi wa umma alikuwa anakopea mshahara wake ili ampeleke mtoto wake shule za kulipia kwa sababu alikuwa anapata viallowance huko kazini,sasa hv havipo na mshahara ndo huo una makato,kwa hiyo naye sasa hv maskini tu!watoto wote wapewe mikopo ili...
Alitakiwa ajishushe tu aombe msamaha,kwa nafasi yake polisi wangemwelewa tu,lkn alitaka sifa kwanza za "UNANIJUA MI NANI...."bila shaka traffic akamijibu nikujue sura yako ipo kwenye hela?ndipo bastola ilipotoka....!
Huko unafanya utafiti wa nn labda ndo swali la msingi,bukoba watu wanakula senene lkn mtwara hawali wanaona ni panzi,pemba wanakula kasa ila moshi hawali wanaona kobe....!wilaya ya masasi ndio ilikuwa inaongoza kipindi hicho cha Nyerere kwa kuwa na shule za sekondari za serikali na imetoa wasomi...
Sio askari tu ambao hawajalipwa,mpk wakurugenzi wote,makatibu wakuu na wakuu wapya wote hawajalipwa,sema zinawasaidia labda posho za safari,vikao na stahili.hao madogo siku wakilipwa ndo mtawatambua vzr,videmu vyenu vya mtaani vyoye vitakuwa vyao mpk hela iishe!maana watakuwa na mzigo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.