Any comments?
1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake
2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi...
Jk kaishiwa na sera hana jipya kashaanza kuchimba watu bit kwa kutumia jeshi. Kampeni za ccm watu wanalipwa kwenda, kampeni za chadema watu wanachangia mfuko wa kampeni, EXPERIENCE THE DIFFERENCE!!!!!!!!!!
Tatizo kama unachuki binafsi inakuwa ngumu kuukubali ukweli ingawa roho yako inatambua kuwa JK anauwezo mkubwa sana wa kupanga hoja na kuzieleza kwa kina ! Hata hivyo kwanini unang'ang'ania mpambano wa Man United na Lipuli ya Iringa. Slaa mlinganishe na mutamwega angalau utaonekana unaakili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.