can x-lovers be friends????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

can x-lovers be friends?????????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndeukoya, Oct 17, 2010.

 1. n

  ndeukoya Member

  #1
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  z it rlly possible for x- lovers to be friends, hang out, help each with work staff and so forth, can they?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  inawezekana kama hamkuachana vibaya....na pia itategemea mko katika hali ipi ili isiweze kuleta tatizo katika uhusiano mpya utakaokuwa nao.....ila watu wengi hawapendi kuwaona wapenzi wao wakiwa na mawasiliano mazuri na maex wao
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Most likely not, because of the murky past and mistrust...na wakati mwingine there is a clamour for baby come back...........better stay away and move on...............................
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hili swali nimeliona zaidi ya mara 1000. Watu wanatafuta nini huko kwa Ex wao? Kwani wanataka urafiki wa nini wakati waliachana? Yaani mpaka kufikia mahali pa kutaka eti ku-hang out, why? Kwani marafiki wengine hawapo?

  Mim ningeshauri watu watumie muda wao, akili zao na resources kuimariasha mahusiano yao ya sasa badala ya kushughulia euphoria za mahusiano yaliyopita!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  unajua kuna watu wengine wanaingia kwenye mahusiano mapya kwa ajili ya kulipiza kisasi wakati bado wanapenda kule walikotoka, kinachotokea ni kwamba pale anapomuona huyo ex na mtu mwingine roho inamuuma so anataka kuweka barrier kwa kisingizio cha best friend
   
 6. n

  ndeukoya Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i agree with dark city bt what can one do when the other one keeps on insisting that we should be friends alafu yeye ndo alimdump mwenzake aimake sense at all
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hao naona watakuwa hawana msimamo. Unapoingia kwenye mahusiano unatakiwa kujali siyo feelings zako tu, bali na za huyo mpenzi wako wa sasa. Kama mtu yuko makini basi ataambatana na mpenzi wa sasa na kukubalia kumpoteza yule wa zamani. Huwezi kuwa na watu wawili kwa wakati mmoja ukawa salama na ukawatendea haki. Best way ni kumtendea mwenzio yake ambayo wewe mwenye ungependa na kutamani kutendewa. Ubinafsi na tamaa ndo vinasababisha watu kutowafikiria wenzao kwenye mahusiano na kuanza kutanga tanga. Ukiwa na Ex zaidi ya mmoja utafanyaje?

  Kwani aki-insist anakushikia mtutu? Mwisho wa siku mwenyewe ndiye utaamua kama unataka kucheza pata potea kwa kuvinjari nao wote au kuwa muungwana na kukaa na mmoja tu.
   
 8. n

  ndeukoya Member

  #8
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Excactly xcuse inakuaga ndo hiyo 'best friends", ishu ni kuwa muungwana
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,465
  Trophy Points: 280
  ndeukoya, that is how really and true love should be. Watu wenye mapenzi ya kweli hudumu milele. True Love lives forever. Tatizo wepenzi wengi huingia kwenye mapenzi kwa tamaa tuu za kimwili, (infatuation) au convenience, pesa, good life or just for security lakini sio true love.

  True love huwa haichipukii, inaota and for a reasons and basis, it takes time, hivyo wapenzi wengi wa true love they are always friends before they are lovers, and if they can't be lovers anymore, they'll still be friends because no matter what hapens, the basis will still be there.

  Watu wengi wanaachana huku bado wanapendana, mimi binafsi bado nampenda tangu my first love na wele niliokuwa nao, we are still good friends na kusaidiana kwenye shida na raha.
   
 10. n

  ndeukoya Member

  #10
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so z it true love if that friendship still exists, and we r together through thick and thin
   
 11. idea

  idea Senior Member

  #11
  Oct 17, 2010
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  inategemea mliachana vipi? Binafsi mpenzi wangu nilimpenda sana lakini aliniacha kwa mbwembwe zote. Baadae akaja kuniona niko poa mambo yamekubali sasa simu kila mara na yuko tied. Mimi namzeveza tu. Kila akiomba tutoke nakubali ikifika siku napotezea tu. Sijui kwanini hachoki. lol!!
   
 12. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135


  hata kama hawezi kusoma, picha unayomuonesha haioni tu.hao ndo wanaitwa kinganganizi.
   
 13. idea

  idea Senior Member

  #13
  Oct 17, 2010
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  na mbaya zaidi yuko under wed lock!
   
 14. n

  ndeukoya Member

  #14
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio vinganganizi tu hao ni vicheche class A
   
 15. N

  Ngo JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0  Hakuna kitu kama hicho eti best friend, hapo utakuwa unaongopa mtu na kujikosha.Ni kweli Ulivyosema dark city. Huwa kuna kujuta baadaye maana mapenzi hayawezi kugawanywa kwa watu wawili, Utakuwa unajidanganya tu, toka lini mafuta na moto vikawa na urafiki? Cha muhimu ni kusahau huko ulikotoka na kusonga mbele.

  Kama mapenzi yenu ya Mwanzo hayakuweza kusimama na mkawa mmeachana, kwanini hamkuweza kufikiria huo ubest friend mkiwa kwenye mahusiano na mkalilekebisha penzi lenu. Leo hii mmeachana muwe best friend, hapo danganya toto siku mafuta yakikaribiana na moto na hakuana majimaji(mazingira yanaruhusu), lazima moto ulipuke tu
  . Utajifanya kuficha au Kudanganya mpenzi wako wa sasa, Ndiyo, but ''lies normally use elevetor and truth tends to use Stairs (By Koffi Olomide) siku ya siku Itajulikana na Utakosa uaminifu kwa hata huyo Uliyenaye. Umempata Uliye naye na Unampenda tulia, Otherwise Utakuwa wa kuluka luka tu siku zote. Ni tofauti ya Bucha tu lakini Nyama ni ile ile, Uroho wa watu wengi kutaka kuonja onja, Ukimuona mdada kavalia unadhani Itakuwa na sukari, au kama ni mdada ukimuona mkaka unadhani shughuri pevu anaiweza, au anajari, Tutulie kwenye mahusiano tuliyona nayo wandugu, Uwaminifu ni muhimu!

  Ni mawazo tu.
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Acha ung'ang'nizi bwana, ex wa nini kaka alikudump enzi hizo atakupenda tena? watu tuwe na misimamo ya kiiukweli, hivi huyo aliyekukana mbele za watu inakujaje awe best friend. Huo urafiki wa kusaidiana kwa nini msingedumisha pendo lenu misaada unayotaka sasa hivi.

  EX ni watu wa kukimbia kama ukoma ukimuona kule we geuka tu, ukiruhus aongee mmerudiana. Ila kama ni mzazi mwenzio mna mtoto au watoto basi mnaweza kuwasiliana for the sake of children ila mwenza wako ajue kila kinachoendelea.
   
 17. n

  ndeukoya Member

  #17
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "NGO" umesomeka u should do family counceling or something!
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nadhani mambo ya kusaidiana ni visingizio tu. Kwani kama ilishindikana kusaidiana wakati bado mnapendana kikweli kweli kwa nini iwe sasa, tena kila mtu akiwa na mwenzake mpya?

  Ni vizuri kubaki tu marafiki wa kawaida lakini ukaribu wa kupindukia ni hatari sana. Hata hivyo mimi naona tamaa za ngono kwa kiasi kikubwa ndio zinawasumbua watu. Pia kuna wengine wanataka kuwachuna pesa wenzao tu. Kwa huko mitaani marafiki wa kusaidiana wameisha hadi ukimbilie kwa Ex wako? Na huyo mwenzio wa sasa hatoshi kusaidiana na wewe? Sioni sababu yoyote zaidi ya ngono!
   
 19. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  noway, if you keep on communicating and giving assistance to each other definately you keep the love and start dating slowly and the dating frequency might become order of the day, moto utawawakia siku yoyote, ogopa mke wa mtu hata kama wewe ndiye ulibik....
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Most likely no.
   
Loading...