Recent content by ndetio

  1. ndetio

    Mara nyingi nimekuwa nikisikia kuwa fani ya IT inalipa kwa kujiajiri. Je, ni kwa namna gani?

    ndg labda wew hujajua fields za IT ni zip haswa kwa maana nyingine sehemu IT inapofiti,IT inamambo mengi sana hyo graphic design na maintenance ni sehemi tu,kuna field kama networks, programming,electronic projects ambazo zinakuw automated na IT,database,nk hvo basi ukiwa competence hulali njaa...
  2. ndetio

    Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

    ni kwel hii ni kama miradi ambayo huwa inazinduliwaga na rais pengine kuna miradi ya chini kifedha zaid kuliko huu wa ndege na huwa inahudhuriwag n rais kuzinduliwa,tuwe wazalendo tuu jaman Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ndetio

    Nisome Nini Ili Nisisumbuke Kupata Ajira?

    ni kwel ajira ni ngum sn hvo ss hv ajira ni nn unachokijua(competence) na syo performance yko nzur(gpa) mm nashauri kuwa karibu na watu,ongea vzr na watu,fanya connection nzur ili unapomaliza masomo upate channel ya kuwa entrepreneur while waiting for employment Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ndetio

    Mwanamke ni nani?

    na kweli tujipange Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ndetio

    Mwanamke ni nani?

    mwanamke ni nsaidizi ,mkamilishaji wa ndoto za mwanaume anaempendeza mwanaume tuu,mwanamke ni kama chombo kidhaifu hvo lzm akil itumike kukitumia,mwanamke ameshika baraka za mwanaume,hvo ili mwanaume afanikiwe itategemea na mwanamk aliyenae lkn kwa mwanamke haitegemei mwanaume alienaeee,ana...
  6. ndetio

    Mwanamke ni nani?

    hahahahahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ndetio

    Mwanamke ni nani?

    loo atareee Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom