Recent content by ndetia

  1. ndetia

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    nilishakopa zaidi ya mara kumi bank ila mikopo miwil ilinitesa sana ila sasa niko sawa, kwa sisi wafanyabiashara usichukue mkopo kwa sababu tu unakopesheka cha msingi angalia mahitaji yako ili usije ukatumia mkopo tofauti na kusudi la mkopo
  2. ndetia

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    lile soko pale dodoma lilopewa jina la nd.... inabidi liwekwe jina lako
  3. ndetia

    Mbinu wanazotumia ulimwengu wa giza kupotosha ukweli kuhusu Mungu

    daahh kwanz muulize hicho kitabu kimeandikwa na nan
  4. ndetia

    Tenda ya Bandari Bagamoyo itangazwe upya kwa uwazi

    aisee unatangaza tender wakati serikal yako haitoi hata mia, cha msingi tuwe na mikataba ya win win situation, watu wanaweka billions of dollars wanata return na profit
  5. ndetia

    Takwimu za Serikali zinaonyesha 6% tu ya Watanzania ndio wanaolipa kodi

    wazo zuri la kushirikisha kila mmoja alipe kodi, sasa wapiga meza kule mjengoni na serikal kazi kwao.
  6. ndetia

    Hivi ni kweli Kenya ni ndugu wa damu?

    Kenyata amesema wafanyabiasha waende ila wafuate sheria, ila huku kwetu sijui kama hawa wakenya wanafuata sheria ipasavyo, cha msingi ni kuimarisha sheria zetu pia tuchunge kama kuna ubaguzi wowote kwa watanzania wakitaka kuwekeza kenya.
  7. ndetia

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    bro yule anae kula mirungi kwan alikuwa na shida nyingne? hizo ni changamoto zitatue uendelee na mke wako ila hakikisha unakamilisha adhabu uliyoaahidi la sivyo itakuwa ndio mchezo.
  8. ndetia

    World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

    Kenya ndio nchi pekee wananchi wanakufa na njaa halafu serikal haipeliki msaada.
  9. ndetia

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    oohh vizur, hiv makusanyo ya kodi kutoka zanzibar yanaingia kwenye muungano?
  10. ndetia

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    hizo fedha zinatoka serikali ya bara au zote? na kama kila serikali inachanga kwa nin kila serikali akabaki na hela yake? na kama zinatoka serikal ya bara kwa nin zanzibar wapewe mgao
  11. ndetia

    Pesa imeanza kuonekana ipo nyingi sana mtaani, mama ana kismati sana

    kumbe najibizana na chizi nilijua una akili timamu
  12. ndetia

    Pesa imeanza kuonekana ipo nyingi sana mtaani, mama ana kismati sana

    inategemea na aina ya biashara, mfano mtu ananunua TATA daladali milion 95 halafu anategemea kupata 150,000 0r 200,000 kwa siku
  13. ndetia

    Pesa imeanza kuonekana ipo nyingi sana mtaani, mama ana kismati sana

    hiyo 12m ni mauzo au faida, kama ni faida ume invest hela nyingi
Back
Top Bottom