Recent content by NDESSA

 1. NDESSA

  TANROAD, zibeni na rekebisheni mashimo yote barabarani. Mnaua watu!!

  Kuna bii ya Morogoro - Dodoma nayo mashimo mengi na viongozi wanapita kila siku Sent using Jamii Forums mobile app
 2. NDESSA

  Hivi Hotel Verde Zanzibar inauza pombe kweli?

  Aina ya biashara aliyochagua ndio inataka sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. NDESSA

  Hivi Hotel Verde Zanzibar inauza pombe kweli?

  Hotel gani itakuwa bila pombe Sent using Jamii Forums mobile app
 4. NDESSA

  NIDA wanaruhusu fomu ya utambulisho kuuzwa?

  Hizo form mnazosema wanauza sio kweli.Hizo zinazopatikana stationary ni copy ya original sasa kama mwenye stationary ametoa copy atakupaje bure? Unacholipia ni gharama ya photocopy kulingana na idadi ya pages zilizotolewa copy. Ukitaka ya bure unaenda kuchukua zile original ofisi za NIDA kama...
 5. NDESSA

  Operation Kitona: Mission ngumu iliyodhihirisha ubabe wa Rwanda Afrika

  We sio mtanzania ni mhutu ndio maana matusi hayakuishi kwa sababu Watusi waliwafanya kitu kibaya.Watanzania huku wanachangia mada kwa utulivu na kwa hoja.kama una hoja matusi ya nini.Mchaga gani mjinga kama wewe
 6. NDESSA

  Operation Kitona: Mission ngumu iliyodhihirisha ubabe wa Rwanda Afrika

  Hiyo ya Uganda kulikuwa na watutsi kibao hao unaowatukana akiwemo Kagame,marehemu Kisa Rwigema na wenzao kibao wa RPF wakisaidiana na Museveni.Tanzania haikiwa peke yake
 7. NDESSA

  Operation Kitona: Mission ngumu iliyodhihirisha ubabe wa Rwanda Afrika

  Alikuwa mkuu wa majeshi baadae waziri wa ulinzi sasahiv mshauri wa rais ktk masuala ya ulinzi
 8. NDESSA

  Operation Kitona: Mission ngumu iliyodhihirisha ubabe wa Rwanda Afrika

  Wahutu ni ngumu sana kujificha. Kwani ukijenga hoja bila kutukana haitaeleweka?
 9. NDESSA

  Je, ulishawahi kukutana na Ambulance kwenye kituo cha mafuta (Sheli)

  Nishaona.Yanaenda sema kwakuwa sio nyingi ndio inaonekana kama ni nadra.
 10. NDESSA

  Kafara halina rivasi

  Wale wanaovaa mapete vidoleni imekaaje?
 11. NDESSA

  Kuna Demu staki nataka

  Asante kwa ushauri
 12. NDESSA

  Kuna Demu staki nataka

  Wakuu kuna demu nimetongoza vizuri kakubali,sasa jana aliniahodi atakuja akanitajia na muda kabisa,akanijulisha yuko barabarani anasubiri gari,nikamuambia kama usafiri shida nimfuate akasema atanijulisha ikawa ndo kimya hakujibu msg wala calls mpk asbh.Leo nimemcheck kasema anakuja sasa tangu...
 13. NDESSA

  Kilimo gani kina asilimia kubwa ya kufanikiwa?

  Kilimo cha mbogo mboga, umwagiliaji
Top