Recent content by Ndensarie

  1. N

    Mifuko ya PSSSF NA NSSF walipeni wastaafu mafao yao

    Nina kila kitu nimeshafanya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    Mifuko ya PSSSF NA NSSF walipeni wastaafu mafao yao

    Ni jambo linalo uma sana nimechangia mfuko wa nssf kwa zaidi ya miaka 18 bila kupata faida yeyote. Baada ajira yangu kuikoma ninasumbuliwa kupata mafao yeyote yale. Nilitaka fao la kujitoa nikabadilishiwa gia angani baada ya kufanya kila kitu kilichohitajika tangu mwezi sita - 2018 nikaambiwa...
  3. N

    Mifuko ya PSSSF NA NSSF walipeni wastaafu mafao yao

    Ni jambo linalo uma sana nimechangia mfuko wa nssf kwa zaidi ya miaka 18 bila kupata Farida yeyote. Leo ajira yangu imekoma ninasumbuliwa kupata mafao yeyote yale. Nilitaka fao la kujitoa nikabadilishiwa gia angani baada ya kufanya kila kitu kilichohitajika nikaambiwa limefutwa tangu mwezi wa...
  4. N

    Tetesi: Bunge kupitia POAC, ingilieni NSSF inamufa

    Kuna ubabaishaji mwingi sana nssf nimekuwa mwanachama kwa miaka 19 sijawahi kufaidika na chochote kwenye mfuko huu. Nimepoteza ajira yangu sasa naangaika kupata fao la kukosa ajira kwa miezi minne nikusumbuliwa bila kupata chochote. Kila nikienda napangiwa tarehe ingine. Inauma sana aisee Sent...
  5. N

    Kuna uhalali wa Prof. Kitila Mkumbo kupinga Waraka wa Maaskofu?.

    Ufunuo wa Yohana 2:10 10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima. Amen
  6. N

    DAR: Jeshi la Polisi lamkamata Halima Mdee akiwa Uwanja wa ndege(JNIA) akitokea Afrika Kusini kwenye matibabu

    Ufunuo wa Yohana 2:10 10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima. Amen
  7. N

    Askofu Evaristo Chengula: Uchaguzi ujao tusifanye makosa tena

    Ufunuo wa Yohana 2:10 10 Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji ya uzima. Amen
  8. N

    David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

    "Kuna aina nyingi sana za umalaya huo nao ni aina nyingine ya umalaya"
  9. N

    Kwenye hili la madiwani wa Arusha namuunga mkono Magufuli kwa asilimia 100, CCM iwasimamishe hao hao!

    Kuna aina nyingi za utakatishaji wa fedha " kununua madiwani na kutufanyia maigizo ya kwamba hao hao ikiwezekana wachaguliwe tena huo ni utakatishaji mpya wa fedha za umma. "Money laundering in a new way"
  10. N

    Zitto akishindwa kuthibitisha uhusika wa Usalama wa Taifa afanywe nini?

    Nadhani aliloliongea atakuwa ana uhakika nalo labda anajua.
  11. N

    Nani anakunywa wine yangu?

    Hiyo kali ubunifu wanguvu !
  12. N

    Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    Hao wakina Gerald Hando na baadhi ya wafanyakazi wengine wa Cloudsfm wanaamini kuwa nidhamu ya uoga, kujikomba-komba na kujipendekeza kwa mkuu ndio suluhisho la matatizo yao binafsi, inawezekana ikawa kweli. Ila Taifa alitajengwa kwa mawazo yao mgando. Tunahitaji watu wenye uthubutu wa kusema...
  13. N

    Mkulo: Unaiponza serikali yako

    Tatizo liko kwa mkuu wao yeye sio mzalendo kabisa. Wameamua kuiuza nchi bila ridhaa ya wananchi.
  14. N

    Clouds FM na unazi wao kwa CCM

    Ni ukweli usiofichika kwa Cloudsfm ile kauli mbiu yao ya Redio ya watu wameshindwa kuitendea haki sasa imebakia kuwa redio ya baadhi watu hasa-haswa walioko madarakani na kuwasifia viongozi wa CCM.
Back
Top Bottom