Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amedai kuwa anaweza kuthibitisha kuwa askari waliovamia Clouds Media ni Usalama wa Taifa. Pia, amedai kuwa askari aliyemtolea bastola Nape Nnauye ni Usalama wa Taifa. Zitto amesema hivyo Bungeni:
Endapo ikiundwa Kamati Maalum/ Teule kuchunguza mambo hayo na Zitto kutakiwa kuthibitisha mambo hayo mbele ya Kamati na akashindwa kuthibitisha, afanywe nini? Kimsingi, si jambo dogo wala la masihara kuhusisha Usalama wa Taifa katika mambo yanayoendelea nchini.