Recent content by ndenga

  1. ndenga

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Kijana anayemiliki LC 300 TATU, Range Rover na Flat Apartments, ni Nani?

    Bashite siyo Kijana:
  2. ndenga

    JamiiForums Tanzania Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Ninaamini huko baadaye watabadilika la sivyo wataishia kuwa Wantam. Maana Moshi ni ngumu sana kuvumilia watendaji wabovu. Cha msingi wabadilike wairudishe Moshi ilipokuwa. Moshi kwa sasa imezidiwa hata na Bunda kwa usafi na mpangilio wa vitu.
  3. ndenga

    JamiiForums Tanzania Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Maswali ya Msingi hapa. Moshi ilikuwa Munispaa inayoongoza kwa usafi kwa kipindi cha nyuma kwa muda wa miaka 10. Ilikuwa ukikaribia Moshi kila mtu alikuwa anaheshimu kutupa taka ovyo..kulinda maeneo ya wazi, mpangilio wa maeneo ya biashara etc. Kwa sasa inasemekana wamerudi nyuma. sasa...
  4. ndenga

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Mwanga Bank is the best in Town now days. Management ya hii bank wanapaswa kupewa zawadi. Hongereni sana. Mkiendelea hivi miaka 10 ijayo mtaanza kuwa na Matawi Nairobi, Bujumbura, Kinshasa, Kampala, Kigali etc
  5. ndenga

    JamiiForums Tanzania Jitahidi sana katika Nyumba yako ama ufuge hawa Wanyama wote au basi hakikisha mmoja wao unamfuga utakuja Kunishukuru siku moja

    Hii imani inahusu Africa peke yake au hata Ulaya na America pia.
  6. ndenga

    JamiiForums Tanzania Serikali ije na sera ya kuhimiza makampuni makubwa kujiunga na soko la hisa D.S.E

    Naunga mkono hoja, hii ndiyo njia mojawapo na muhimu itakayotoa nafasi kwa watu wengi kufaidika na uchumi wa nchi..na itarahisisha uwekezaji kukuwa kwa baadhi ya makampuni
  7. ndenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pakistan waliwezaje kutengeneza na kumiliki silaha za nuclear bila kuingiliwa na Marekani?

    Pakistan ana ushirika mzuri na Marekani na wadau wa Ulaya. Ndiyo maana ameruhusiwa kuwa nayo, hata Marekani wana Military base pale kwao.. Hata hivyo viongozi wake hawana mihemko sana hivyo madhara yao ya kuwa na nyuklia yanavumilika. You can imagine Umpe nyuklia nchi kama Yemen..usalama wa...
  8. ndenga

    JamiiForums Tanzania Kabla hujataka kumuongoza mwingine, jiongoze kwanza wewe katika maeneo haya ili uwe kiongozi bora

    Good, umeandika vizuri sana na kwa kutulia. Nimejifunza kwa kweli. Ila hili linabeba mengine 2.Mentality(akili)
  9. ndenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Ufaransa Catherine Perez Shakdam, jasusi hatari zaidi wa Mossad aliyefanikiwa kupenya ndani ya Iran na kutoa tarifa Muhimu

    Kutembea na Makamanda 100, inamaana walikuwa hawana wivu kabisa hawa jamaa
  10. ndenga

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Tony Kapola na hii miujiza yake ya Mitungi ya Gesi atajikuta anamchafua Mtume Mwamposa ambaye Rais amefungua kanisa lake Juzikati!

    Bibilia inasema siku za mwisho matapeli wa dini watajulikana...
  11. ndenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila aridhishwa na zoezi la kura za maoni Ubungo

    Tusubiri matokeo kwanza
  12. ndenga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kupokelewa CHAUMMA Agosti 06 ukumbi wa Mlimani City

    Atakuwa amejitahibia kuliko hata Prof Lipumba na wapinzani wengine, bora angekaa kimya. Anyway Mbowe akiingia kwenye active politics za kupingana na chama chake na alichokiasisi atakuwa amepoteza hadhi na sifa alizojijengea miaka zaidi ya 40 ya kuwa kwenye active politics. Namsifu sana Halima...
  13. ndenga

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Uchaguzi kufanyika mwakani February 2026

    Ramli Chonganishi tu
Back
Top Bottom