Recent content by Ndeluningo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi Mei kuingia kwa mafungu/makundi

    duh
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Aqua au Prius

    Nahitaji Either Prius au Aqua moja. Anayeuza anicheki. iwe kwenye hali nzuri. na usajili uwe na E. Offa 15m Inbox
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuweka kitabu AMAZON KDP

    Habari ndugu zangu, Nataka kuweka kitabu changu katika mtandao wa AMAZON, ila kuna sehemu moja ya kuweka taarifa za kibenki, sioni option ya Tanzania ili niweze kuendelea. Kuna iprion ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya. Msaada tafadhali
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mlundikano wa malori Shekilango, Ubungo Maziwa ni kero

    Kumekuwa na kero kubwa ya malori haya yanabeba kopa ni mengi mnoo na barabara imekuwa finyu. Serikali mtusaidie.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Be that top 1% -majitu yenye akili na nguvu

    kabisa mkuu mafanikio yanatokana na watu how unahusiana nao
  7. N

    JamiiForums Tanzania Oktoba 5, Siku ya Walimu Duniani, una ujumbe gani kwa Mwalimu wako leo?

    Walimu ni sawa na mafundi umeme wanaoingiza umeme majumbani. Taa zinapowaka sote hufurahi kwa furaha. Namshukuru mwalimu aliyenifundisha AEIOU maana alinifungulia dunia. leo nasoma maarifa mengi mwenyewe. I am Ndelutarami H.N
Back
Top Bottom