Recent content by Ndekwakwise

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

    Ana Wivu huyo!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

    Kiukweli mi mwenyewe Nashangaa!! Mtu kajitolea na Hajatanzangaza yeye km katoa kiasi gani..... Hizi chuki nyingine hazina maana.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

    Umeongea Ukweli
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msiba wa sharo: Wema afunika mastaa wenzake

    Hasa Aliyejitangaza nani? Umesoma vzr iyo taarifa? Wema ye Katoa miti miwili yake basi,Sasa huyo ndg wa marehemu aliyethibitisha ndo Mkamuulize Ye aliulizwa na nani then akathibitisha? Ule mpunga umesaidia familia acheni wivu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Namshukuru sana Wema Sepetu, alishiriki kikamilifu kuandika mashairi ya 'Nataka kulewa' - Diamond

    Wivu tuu Umekujaa..... We hujui tujadili nini hapa?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Real madrid fc 'the galacticos!'

    Wamemshika Leo Anatapatapa.....
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Gang Chomba Mi sipigani bana..... Ila Kaa ukijua D'slaam Inawenyewe tuliokuwepo kabla hata ya Chips,na tulikula Chips tunafungiwa Kwenye gazeti!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Mwenzio Masharubu ndio mtoa maada katulia tuliii kwa kujua kweli hakuwepo Dar.... Ila nyinyi Mliokuja D'slam kwa ajili ya kujiunga na chuo kikuu Mnashida sana
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Nyinyi Darasani ndo Mlikuwa Mnakaa nyuma kabisa Mwl akifundisha Mnatia stry....... Nimekwambia Kinondoni ni Eneo na pia lina Mitaa yake! Acha kupaparika.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Kinondoni km Kinondoni ni Eneo ambalo lina Mitaa yake na Ukizungumzia timu za Kinondoni kulikuwa na Internasionale pamoja na Newcastle..... Na Ukizungumzia Upinzani Linea Mesina Mpinzani wake Mkubwa alikuwa Kagera rangers na Faru Dume mpinani wake Alikuwa Sifa utd..... So Mechi ya Mesina na Faru...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Acheni Kuuma uma Maneno mtoa Maada ajasema Kaziona wapi Alichosema yeye "Zamani kulikuwa na Upinzani ZIKIKUTANA TIMU ZA MTAA MMOJA hapo amezungumzia mitaa Alafu akasema Mfano Kinondoni zikikutana MESINA na FARU ina maana hapa alikuwa anazizungumzia timu za Kinondoni Mtaa sio Wilaya ila nyinyi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Kuna kipindi timu za Mtaa mmoja kulikuwa na Upinzani,Mfano Kinondoni Faru na Mesina....... We acha kukurupuka Angalia alichoandika mwenzio Kuna sehemu kazungumzia Wilaya hapo? Unajua tofauti ya Mtaa na Wilaya? Kwanza Mlikuwepo D'slaam au Mmezisikia tuu hizo timu Mkakurupuka?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Huyo Alikurupuka Wala msiume ume maneno... Alikurupuka!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Linea Messina Maskani Magomeni Fundikila Uwanja wa mazoezi Shule ya msingi Turiani..... K'ndoni wapi na wapi?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke timu zetu za mitaani

    Mmmh! Messina na Faru za Kinondoni?
Back
Top Bottom