Tukumbuke timu zetu za mitaani

Kuna kipindi mtaa mmoja kulikua na timu za upinzani zilikua zikicheza mpaka ulinzi wa polisi uwepo, mfano kinondoni enzi hizo ilikuwepo mesina zikikutana na faru inakua balaa

Linea Messina Maskani Magomeni Fundikila Uwanja wa mazoezi Shule ya msingi Turiani..... K'ndoni wapi na wapi?
 
Misifa!
Mwenzio kasema Faru, wewe unasema Faru Dume.
Bai ze wei, hata Manzese ni wilaya ya Kinondoni.

We mkulima hiyo Faru ndio Faru dume...
Ni kama kaifupisha tu.
sawa na kuisikia timu inaitwa Messina, lakini jina lake ni Linea Messina au wengine huiita villa lakini jina kamili ni Villa squad.

Haya futa mimate hiyo kisha urudi jukwaa la mapishi, kule ndo kunakufaa.
 
Unalazimisha?
Kama mtaani kwao kuna timu ikiitwa Faru je? Huku Mikocheni kulikuwa na timu ya vijana ikiitwa Juve miaka ya 90, ila usilete ujuiaji ukaiita Juventus, watakukimbiza.
Line up ya kipindi hiko ilikuwa na Kindamba, Domi, Saleta, Kidide, Idi Mrangi, Dudu, Sele Babu, Michael Twaha, Babu Ali, Hamadi Akida na watoto wote wa CCM kwa wapemba, wakongwe wahuni Texas Dume na Voice ya Geza walikuwa wakisanda uwanja wa chumvini hapo, sometimes Magunia vs Kambarage, au Sakasaka.
 
ABAJALO:
1. Gutierez
2. Gang Chomba
3. Tusker bariidi
wapi Mfede baby luis,Kayoza roger moore kuna kipindi Gor Mahia walitaka kumsajili alipokimbia yanga,Kalimangonga Ongala,Pius Athnas kiberenge,Matokeo Lukojoe,Ally Midada,Baba Dimu,George Saga,George Ngasongwa,Kiada Man,Abdul China,Ally Mayayi Tembele,Habib Kibaden,Modest,Adam White,Mabere Marando,Abeche,Adeba nk Gang Chomba wamalizie nakumbuak mechi moja vs Friends Rangers pale Mwananyamala Athuman Machupa aliwafunga Abajalo bao zuri Friends walikuwa na Shekhan Rashid mcmanamann kiungo,Bernabas Sekelo na Noel Pompi kipa na baunsa wao Henry,Abajalo nao Damme Ayoub Nkobolo acha tu hapo zamani hapo zamani mambo mengi yalikuwa shwari kinyume na sasa kinyume na sasa mambo mengi yamebadilika,kuna National ya Tandale,Swazi International Francis Chirwa mwananyamala kwa mama zakaria karibia na uwanja wa shule ya msingi mwananyamala b a.k.a lucky ranger stadium.
 
Gutierez umenitoa chozi...
Umenikumbusha ukuta bora wa Abajalo...
Golini matokeo, kulia Saga, kushoto Modest, 4 George Ngasongwa na Mkoba Baba Dimu.

Wallah huo ukuta Iddy Moshi anautambua, ulizunguka nae dakika zote 90 na hakufunga goli.
 
Kuna timu ilikuwa pale kinondoni nyuma ya mwanamboka inaitwaje?iliwatoa kina ngade chabanga,gula joshua na golikipa wao hakika angekuwa tz one mlila mwale akafa akiwa kijana!
 
Wakali wengine nawakumbuka lakini timu nimesahau,kiwango cha uchezaji wa messi kilikuwa kikipigwa na abdalah kileo,kiwango cha sergio busquet kilikuwa kikifanywa na wilfred kidau!mambo ya xavi leo barca mtu alikuwa anaitwa furahisha sapi alikuwa anakipiga mchangani!
 
Huyo Alikurupuka Wala msiume ume maneno... Alikurupuka!

Naona wewe ndio unakurupuka, MC tily chizenga ametoa uwezekano wa mtoa mada kuwa hajakurupuka, ila kwa akili yako ya kuumbuana unataka tu umuone mdau amekurupuka.
 
Last edited by a moderator:
Kama aliyepost aliziona ktk ligi kanda ya kinondoni uwanja wa msasani magunia nadhani si sahihi kusema amekurupuka!unasemaje gang chomba?

Mkuu nimekusoma lakini fahamu kuwa hata Barca ni ya Spain lakini ni Catalan, Juventus ni ya Italy lakini Toino, Milan ni ya Italy lakini jiji la Milan barabara ya Turati,

So hata kama aliiona Abajalo katika mashindano ya ujirani mwema Tegeta ni lazima afahamu kuwa Abajalo ni ya Sinza, lazima ufahamu Boom na ashanti ni za Ilala, ingawaje Ilala ni wilaya kubwa na ina maeneo mengine ambapo pia kuna timu kwa mfano Napoli ya Buguruni.

Sijui umenisoma kaka?
 
Naona wewe ndio unakurupuka, MC tily chizenga ametoa uwezekano wa mtoa mada kuwa hajakurupuka, ila kwa akili yako ya kuumbuana unataka tu umuone mdau amekurupuka.

Kakurupuka...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimekusoma lakini fahamu kuwa hata Barca ni ya Spain lakini ni Catalan, Juventus ni ya Italy lakini Toino, Milan ni ya Italy lakini jiji la Milan barabara ya Turati,

So hata kama aliiona Abajalo katika mashindano ya ujirani mwema Tegeta ni lazima afahamu kuwa Abajalo ni ya Sinza, lazima ufahamu Boom na ashanti ni za Ilala, ingawaje Ilala ni wilaya kubwa na ina maeneo mengine ambapo pia kuna timu kwa mfano Napoli ya Buguruni.

Sijui umenisoma kaka?
Hapa nimepiga mstari japo ni siasa ila ni habari sio nzuri kuwa jimbo la Catalan linataka kujitenga na Spain sasa,kiasi ukosefu wa ajira umezidi Catalan na hata uhasama wa soka Real Madrid na FC Barcelona kuhusu wachezaji La Furia Roja japo Del Bosque sasa najitahidi kuweka usawa ktk kupanga listi inakuwa half half kidogo,Catalan(Catalonia Catalunya)wanabeba mabango kuwa wao ni jimbo tegemezi sasa ulaya(Catalan is the next independent state in Europe)na kunauwezekano jimbo la Basque lenye miji maarufu eg ya Bilbao na San Sebastian nalo kujitenga,sina mengi sana zaidi ya hayo!
 
Ngoja nifanye assumption kuwa chizi kaiba nguo zangu wakati naoga, simkimbizi.

kama wewe unaenda kuoga ukiwa umeacha milango wazi basi ni zaidi ya chizi.

Kamba ni kamba tu, kwa ngedele kiunoni kwa mbuzi shingoni.

So wewe na huyo chizi wote walewale.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom