Tatizo uelewa wa Maisha ya Kindoa, hata kama mnaongea mambo ya kikazi, lazima kuwe na kikomo cha maongezi, embu fikiria ametoka kumpokea mumewe airport, wewe una muweka bize na simu, hv unafikiri ni ustaarabu? Je kama mlikuwa na mahusiano ya karibu ya kikazi ingekuwa rahisi hata familia zenu...