Hii ndiyo cv ya mbunge wa Mbarali

Hii ndiyo cv ya mbunge wa Mbarali

kweli sisi wa Tz ni watu wa ajabu cna. Mi nadhani tusingejiuliza hz CV za nini? Tungekuwa tumeshapata jibu kwa nini viongozi wetu wanatuingiza kwenye mikataba yenye utata?? then tunayafanyia kazi..
 
Hivi huyo anayeingiza taarifa za wasifu wa wabunge katika website ya bunge huwa ni mlevi au?Sasa huyo mbunge wa Mbarali ''A'' Level kasoma Kigurunyembe teachers training college!Labda mnisaidie jamani kuna shule ya A level yenye jina hilo Tanzania?
 
kuna watu cv hazijasimama lakini wachapa kazi kweli kama mzee wa kiraracha zamani
 
Kama kuna makosa mtarekebisha!! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Toleo la Mwaka 2000, Ibara ya 67; Inasema hivi kuhusu kuchaguliwa kuwa mbunge;
67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu
yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa
kuwa Mbunge endapo-
(a) ni raia wa Jamhuri ya Muungano aliyetimiza umri wa
miaka ishirini na moja, na ambaye anajua kusoma na
kuandika katika Kiswahili au Kiingereza;
(b) ni mwanachama na ni mgombea aliyependekezwa na
chama cha siasa;
(c) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya
Uchaguzi hakuwahi kutiwa hatiani katika mahakama
yoyote kwa kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote
ya Serikali.
 
Yaani kwa huku kwetu huyu ni bonge la msomi kwani CV kubwa huku kwetu ni kuoa wake wengi. Mfano mdogo tu Mhe. Kilufi akienda kilabuni kule isunura alikosoma kwavile ana mke mmoja hawezi kupewa kiti cha kukalia kwa vile anaonekana bado mtoto mdogo. Utoto ninaozungumzia hapa sio wa umri bali wa kuoa.

Ndiyo maana jamaa yupo kwenye harakati za kuongeza jiko lingine. Kimwana kipyaaaaaaa.............
 
Hamjatulia, Huyu actually lazima sana tu. Kuna jamaa wa magamba Kanda ya ziwa ni STD vii, Ana hapa kazi sio mchezo. Nipatie ya Mh sugu!.
 
Hamjatulia, Huyu actually kasoma sana tu. Kuna jamaa wa magamba Kanda ya ziwa ni STD vii, Ana hapa kazi sio mchezo. Nipatie ya Mh sugu!.
 
Ya Mbowe ya nini?
Hivi huyu jamaa anaweza kuongea kitu Bungeni?
Lol

Kwa taaluma yake ni lazima anaweza kuongea labda utueleze kama ana matatizo ya ububu

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 

[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 3"] GENERAL [/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Salutation [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, bgcolor: #E9F0F0, align: center"] Member picture
1260.jpg
[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] First Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Freeman[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Middle Name : [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Aikaeli[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Last Name: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Mbowe[/TD]

[TD="width: 20%, bgcolor: #E9F0F0"] Member Type: [/TD]
[TD="width: 38%, bgcolor: #E9F0F0"]Constituency Member[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Constituent: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]Hai[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Political Party: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]CHADEMA[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Location: [/TD]
[TD="bgcolor: #E9F0F0"]P.O. Box 3070, Moshi[/TD]

[TD="bgcolor: #E9F0F0"] Office Phone: [TD="bgcolor: #


؛HAPO VIPI WENGINE TUSEMEJE ‎
 
Back
Top Bottom