nahis mama yako mimba ya kukuzaa aliipatia gest ndo maana unapost vitu vya ajabu ajabu usidhan watu wanaangaika na kutafuta kaz wanapenda.fyuuuuuuuuuu.mat.ko ya aliekuzaaa
Leo asubuhi mida ya saa 8:30 kuna mtu ameni inbox na akajitambulisha jina lake pamoja na kampuni anayofanyia kazi cha ajabu hakunitajia yeye katika hiyo kampuni ana position gani kampuni yenyewe inaitwa DOVETAIL LTD kaanza na hiv nanukuu "naitwa mr Raymond natokea dovetail ltd nimepitia cv yako...
na ukizingatia ni nan alieandikiwa officially letter inayomjuza kua ndie mmoja wa wajunbe watakaohudhuria kikao.mboba watanzania tunageuzwa kama wote ni mambumbu tusiojua kitu na kutambua kinachoendelea katka nchi yetu we need the revolution
Unauhakika na ulichokiandika nimezaliwa mkoa wa tabora nimesoma chekechea mpaka chuo nimemaliza bado nipo mkoa wa Tabora kilio cha wanatabora ni miundombinu mibovu kilakukicha iweje leo ww unasema kua tunajengewa barabara bas hiyo barabara inajengwa nyumban kwako
Kilio cha kila siku kwa wazawa na wakaz wa mkoa wa Tabora kuhusu miundombinu ya barabara inayoonganisha municipal na wilaya zake zote ni aibu kwa mkoa wa kihistoria katika nchi hii kua na miundombinu mibovu ya barabara hususan zile barabara zinazoonganisha makao makuu ta mkoa na wilaya zake.
Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.