Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,258
- 43,415
Ritz,
Kumbe kwenye SIASA nako kuna mambo yanayofanana sana na FIESTA za akina Kusaga! Billicanas na Sugu wameiathiri sana CHADEMA.
Teh teh teh
Ritz,
Kumbe kwenye SIASA nako kuna mambo yanayofanana sana na FIESTA za akina Kusaga! Billicanas na Sugu wameiathiri sana CHADEMA.
Vumilia tu, Operesheni za kitapeli ndivyo zilivyo!
Habari wakuu,
Niko hapa Dodoma katika uwanja wa Barafu ambapo mkutano wa Operesheni Pamoja Daima umeshaanza.Hivi sasa ni viongozi wa ngazi wa ngazi za kata,wilaya na mkoa ndio wanaongea na kutupa matumaini kuwa viomgozi wa kitaifa watatua muda si mrefu.
Hata hivyo,mpaka muda huu saa 11:20 viongozi wanaosubiriwa kufika kwa "chopa" hawajafika na muda ndio unakwisha.Hakika hili ni kosa kwani wananchi wanasubiri kwa hamu viongozi hao wafike.
tHata hivyo,tunambiwa mafuta ya "chopa" yalicheleweshwa kwa dakika 15.Tunavuta subira.Uzuri hali ya hewa ni nzuri na watu wametulia wakisubiri viongozi wafike.
Makamanda wanaosubiriwa ni mh.Lissu na kamanda Heche.
Update:Muda huu ikiwa ni saa 11: 28 "chopa" ndio inazunguka angani ikitaka kutua.Watu wanashangila.
Kamanda Heche anasema CCM wameondoa mawaziri mizigo na badala yake wameleta mawaziri "vifurushi".
Kuhusu CCM kubeza wao kutumia chopa,mh.Heche anahoji kwani wao CHADEMA wanatumia hela za walipa kodi au wanatumia hela za CCM kurusha chopa hizo?!Mh.Heche kaonya kuwa endapo CCM watachakachua katiba mpya basi CHADEMA watarusha chopa 10 kuelimsha umma kuikataa katiba hiyo
Jamani watu ni wengi sans na inatia moyo kwakweli.
'''Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita(6) na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2), hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.'''
Wanachofanya Viongozi wa CHADEMA kina tofauti gani na FIESTA ya Clouds?
Huon aibu na kikofia chako hicho cha kijan wenzako wanatembelea mi vx. We mwaka wa 40 bado unavaa kofia za kupewa
Mkuu,imekula kwao.umenifuraisha ulivyounda heading yako to capture the attention of buku 7.sipati picha magamba walivyo ikimbilia kichwa kichwa thread hii.nice one mleta mada.
Hapo naona unaenda kinyumenyume FIESTA ni pale mkutano unapokuwa na watu kama DIAMOND, TMK, DOKII, MARLAW na wasanii wengine wa bongo Flava na hili ufanywa na CCM, kwani katika mikutano ya CCM bila wasanii na wali watu huwa hawaji.
Njoo nikuajiri kwangu, kazi ya kuogesha mbwa ili uepuke hii aibu ya kushinda mtandaoni kutetea usichokiamini.
Wewe unashinda Shamba?Njoo nikuajiri kwangu, kazi ya kuogesha mbwa ili uepuke hii aibu ya kushinda mtandaoni kutetea usichokiamini.
kwa hizo buk 7 unaweza kumwajiri nani wewe kalumekenge? sh...nz taipu!
Umekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!

Nimekuelewa vizuri, hapa tanzania wanaounga mkono ccm ni walio madarakani au wanaofaidi mfumo wa kifisadi uliopo serikalini kwa sasaUmekaririshwa kuwa kila aliye hasi na mitazamo yako analipwa buku saba, mimi sina njaa kama nyie wafata mikumbo. Nimeajiri vijana wengi kwenye kampuni yangu na ninawalipa mishahara minono maradufu ya unacholipwa wewe kwenye kutetea uzandiki!
Wewe unashinda Shamba?