Huyu aliye nitumia meseji ni hacker au ni kweli mtumishi?

Huyu aliye nitumia meseji ni hacker au ni kweli mtumishi?

ndegeya

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
32
Reaction score
7
Leo asubuhi mida ya saa 8:30 kuna mtu ameni inbox na akajitambulisha jina lake pamoja na kampuni anayofanyia kazi cha ajabu hakunitajia yeye katika hiyo kampuni ana position gani kampuni yenyewe inaitwa DOVETAIL LTD kaanza na hiv nanukuu "naitwa mr Raymond natokea dovetail ltd nimepitia cv yako inaridhisha nataka nikusaidie kwa terms zifuatazo mshahara ni sh 1200000 na utanipatia 300000 kwa mshahara wako wa kwanza na kwa sasa nipo kwenye kikao cha kuchagua candidates wa kuinterview.na kinachotakiwa kwa sasa unitumie sh 35000 kabla ya saa 16:00 ili niweze kumpatia mtu wa enterviw anipatie maswal ya enterviw" kaniacha njia panda naombeni ishauri wanajamvi.
 
Ni mwizi huyo na tapeli. Hata usitume na kama umetuma pole.
 
Mkuu message kama hiyo inazunguka sana humu JF. Kaa mbali kabisa. Ila huwa hamuelewi mpaka mlizwe!!
 
Double k sikuweza kuchukulia poa kias hicho jamaa nilimbana sana maswali mwishowe katokomea mwenyewe na nimempigia cm hapokei
 
haa unashaangaa nini kwani uliwahituma application hapo au? ndio zile email za yahoo za kushinda lottery wakati hujawahi kushirika au kucheza.....watu wanasaka pesa dunia hii so kaa macho...kama huto jari mpatie akitafutacho!
 
Mpe hiyo pesa, halafu uone Interview ya machozi
 
He isnt a hacker just a poor loser struggling to make ends meet. Give da money generously u gonna be intertwined?
 
Kuna tofauti kati ya tapeli na hacker
 
number yake hii wanajamvi anaitwa Raymond 0713765442
 
Back
Top Bottom