Recent content by Ndebile

  1. Ndebile

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Wachina wataiendesha reli ya TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo kwa serikali

    Akili na mawazo ya hivi CCM hawataki kabisa kuyasikia!
  2. Ndebile

    Maria Sarungi Tsehai: Treni ya SGR inahujumiwa. Yaharibika usiku huu Ruvu Station, abiria wanatembea zaidi ya 6KM kupata usafiri mbadala..!!

    watu wameajiriwa kwa vimemo na ukada wa chama unategemea wajitume na kuwa wabunifu? WHO ARE YOU!
  3. Ndebile

    Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

    Mafwele kanunua ugomvi na Trump, tulimwambia diaspora hasa wa USA ni chambo asiwaguse, ona sasa!
  4. Ndebile

    Nani kama Magufuli?

    Aliigaje tembo wakati kazi yake ya kwanza baada ya kuurithi urais ilikuwa ni kuwatupilia mbali "think tank" wa mtangulizi wake? Akawatapanya akina Polepole, akajiweka karibu na jirani zetu kuonyesha kuwa mtangulizi wake "aliua hata vifarnga kwa kuvichoma moto" baadae huyo jirani ndio...
  5. Ndebile

    Zungu: Jaji Warioba kuongea hadharani ni kuzua taharuki

    Nimekumbuka "live conference" ya Zungu na Humphrey Polepole, hakika makosa ya uumbaji wa Zungu hayakuishia kwenye ngozi, Hadi ubongo aliwekewa wa mbuzi! UVCCM walimpa "nondo za maswali' na bado alipuyanga!
  6. Ndebile

    Watajeni wote waliotekwa au kuuawa Enzi Nyerere akiwa Rais

    Soma kitabu hiki mkuu ndio utafahamu kuwa hii nchi ne jehanam tangu tulipopata uhuru... Sio lazima ukitafute amazon, hata hapa JF kilishawekwa japo sikumbuki ni uzi gani!
  7. Ndebile

    Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    ....."rest in peace ma soldiers mliopoteza maisha kwenye uwanja wa vita mkipambania haki.." Ney wa Mitego
  8. Ndebile

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Mzee Butiku inapoteza hadhi yake!

    Nchi hii hakuna taasisi iliyobaki salama kwenye nchi hii ya ma primitive!
  9. Ndebile

    Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Mchanganyiko huu wa pilipili, NK kwenye kidonda unafikirisha Sana!
  10. Ndebile

    Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Nimelog in kwasababu ya comment hii, nipo Bogota, Columbia
  11. Ndebile

    Wamarekani wamwambia Msigwa aache kumfanyia Kiongozi wa Republican Propaganda za uongo

    Trump pamoja na mapungufu yake amenisaidia kufahamu mengi yaliyojificha kwa wanasiasa, media, misaada na hasa USAID..... Hapo msigwa na huyo mRepublican "nyuma ya pazia kuna HONGO wanapeana, jamaa kapewa kitalu cha kuchimba madini, nk!" NAWAZA TU>
  12. Ndebile

    Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

    Radio Télévision Libre des Mille Collines (RTLM).
  13. Ndebile

    DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Yaani watanzania akina TBS ndio wakague magari!!!, PAmoja na kumpenda Jiwe ila kwenye hili ninapinga!
  14. Ndebile

    PostGE2025 Mchungaji Hananja: Unadai maiti, maiti itoke wapi? Nenda kadai Congo

    kitambo huyu ni kada mtiifu wa mbogamboga!
  15. Ndebile

    PostGE2025 Magari ya matangazo yasambazwa mtaani kutoa taarifa kwamba watu wasiandamane. Hii imekaaje? Ni uoga au paranoia?

    kuna watu wamesomea kazi hiyo ya "kuhadaa na kupoza umma ulio kwenye hamaki" CCM wanatumia mbinu za zamani saaana!
Back
Top Bottom