...cha kusikitisha zaidi mkuu wetu bila desa hawezi kabisa kujieleza. Wana-psychology mnaweza kutusaidia hapa, Obama alivyoshika mdomo wakati Mkuu anajitahidi kufafanua mambo, akisaidiwa na desa lake, inaashiria nini? Je, siyo kwamba Obama yuko bored, or sympathetic, or confused na anachokisikia?