Anatia huruma sana...Anajiuliza, "hivi kwanini nami nilizaliwa?"
Kabisaaaa
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Anatia huruma sana...Anajiuliza, "hivi kwanini nami nilizaliwa?"
Kwa Tanzania ya sasa hivi, asitegemee lolote. Mfumo uliopo Tanzania kwa sasa haumpi nafasi hata kidogo. Ingekuwa enzi za 'Tanganyika' ambapo kila mtu alikuwa na fursa sawa, angekuwa na matumaini. Akijitahidi sana, ataenda shule ya msingi ambayo iko chini ya mti wa mwembe...kisha akijitahidi sana ataingia sekondari ya kata ambayo haina walimu, haina maabara wala vitabu...baaada ya hapo ni kuoa, kuzaa watoto kama 7 hv ambao nao hawataweza kufika hata darasa la 7. Akiwa mjanja saana, ataishia kuwa machinga katika mojawapo ya miji ta TZ. KWA KIFUPI ANAWAZA KWANI AHERA KUENDEKI DUNIA HAIKALIKI...NI MFADHAIKO MKUBWA WA MAISHA!
Hata usikuja nayo inatosha hiyo introduction.You keep on joking, mi nafahamu story ya huyu dogo.
Ni yatima, anafanya kibarua kwenye machimbo fulani huko Dodoma.
One day nitakuja na full story yake...