Recent content by Ndandidzi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Naweza kupata heka 25 za pamoja na kuzipanda msimu huu.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nimekuuliza swali langu la msingi kule. Uchindile, nahisi ni maeneo ya Mafinga/Mufindi nako ni umbali gani kutoka barabara ya rami?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Asante sana Bw Malila ngoja ngoja niupokee mualiko huo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    9 Hili shamna bado lipo?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Habari Bw Malila nimependezwa na uzi huu nami ningrpenda kuwa mwanachama wa kikundi hiki. kama naruhusiwa email address yangu ni "ndandidzi@gmail.com" asante sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kiafrika

    Ni sheeedah... Mpaka upanga ni mweusi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Amani au wadau wengine Naomba kufahamishwa kuhusu ugonjwa wa Gumboro hasa dalili zake
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 666-nyayo za kuzimü

    Dah umetisha. Duh haka kasimu hakaonyeshi kitufe cha like, anyway kula like x10 Mkuu.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dr Mzizimkavu alinipa tiba ya koo langu lililoshambuliwa vibaya na wadudu wakali

    Mzizi hebu turudi kule kwenye riwaya yetu bwana. Achana na huyu mzushi
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji nimda gani hutumia hadi kufikia kuliwa

    Chasha ni kuku wapi kati ya hao wanachukua muda mfupi kukomaa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nauza laini ya tigo pesa.

    Laki nne
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 666-nyayo za kuzimü

    Duh hadithi nzuri ila mtiririko wa sehemu haujaakaa sawa.
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 666-nyayo za kuzimü

    Mbona sehemu ya nne umerudia sehemu ya tatu. Kwa hiyo kimsingi sehemu ya nne haipo hapa
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Its Official: Polygamy is the law of the Land.

    Nafikiri hii ndio sababu ya nyumba ndogo kuongezeka.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ajira ya Uhakika hii Hapa: Hakuna mizengwe

    Huwa napata junk emails za namna hii na huwa nazipotezea tu. naona sanaa tu.
Back
Top Bottom