lawama iende kwa viongozi Wa bakwata kwa kukaa kimya juu ya mswala haya yanayoendelea sasa,na dhima kubwa wameibeba wao kama viongozi,lazima wataenda kuuluzwa juu ya hili.
Acha kutisha watu wewe barabara hii hainaga ujinga huo,na kwa taarifa yako hawa majambazi hufanya huarifu wao usiku na si mchana hivyo hakuna mahusiano yoyote na mabasi
mimi wasiwasi wangu ni sehemu Mbili,moja kuna baadhi ya watoto na wazazi wao wanalazimishwa tu kwenda sekondari sasa wakipata fursa hii ndo watafurahi kwani mwanafunzi ataamua kufanya vibaya ili asiendelee na masomo.Pili wazazi waliojibana mpaka kupata mahitaji ya mtoto je watafidiwaje kwa...
mbona walimu wengi tu ni viongizi kwenye ccm? manec wengi ni watumishi Wa umma,usishangae,lakini Katibu Wa chama cha walimu sio mtumishi Wa umma ni mtumishi Wa chama cha walimu,hivyo ana haki ya kushiriki siasa.Kwani hata waziri Mkuu alishawahi kuwa Katibu Wa cwt Singida na bado alikuwepo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.