ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,493
- 13,956
Hili suala la Mikataba ya madini na wizi ambao kwa sasa unaonekana dhahiri, na kujadiliwa kila uchwao, Baba wa Taifa amewahi kulikemea kwa namna moja au nyingine hasa kipindi cha uongozi wa Benjamin William Mkapa.
Hili suala la Julius Kambarage Nyerere kuonesha uchungu kwa mikataba ambayo iliingiwa na viongozi wetu hasa katika kipindi cha ndugu Mkapa, inasemekana ilikuja kupelekea hadi kutokea kifo cha Nyerere ili wizi uendelee kwa manufaa ya baadhi ya viongozi ambao hawana uzalendo na hawakua na uzalendo wowote kwa Taifa langu hili.
Inasemwa na baadhi ya wadau kuwa Nyerere aliwahi kulia machozi kwa sababu ya hii mikataba ambayo Ben na genge lake waliingia mikataba sikitishi na uchungu wake ulipelekea kifo chake kutokea hasa pale alipolazimishwa kwenda kutibiwa nje ya nchi kwenye hospitali ya Mtakatifu Thomas.
Ingekua vyema kitendawili cha kifo cha baba wa Taifa kiteguliwe ili watu waliohusika na kifo chake kwa manufaa yao binafsi wachukuliwe hatua stahki na waorodheshwe kwenye orodha maalum ya wahujumu uchumi.
=======
Note: Utata wa Kifo cha Mwl JK Nyerere umejadaliwa kwa kina hapa > Kifo cha Nyerere: Siri zaidi zavuja